Duuuuh kua single ni shida saa ingine...yes unakua free at times but being with someone pia ina umuhimu wake.namiss kudeka,kuulizana uko wap, hangout na kuzinguana sometimes. .hahahahaaa (msipanic basi..i just say wat i fill maana kuna watu wana maushauri ya kuumiza roho).

kuchapwa makofi kidogo.Duuuuh kua single ni shida saa ingine...yes unakua free at times but being with someone pia ina umuhimu wake.namiss kudeka,kuulizana uko wap, hangout kuzinguana sometimes. .hahaaa (msipanic basi..i just say wat i fill maana kuna watu wana maushauri ya kuumiza roho).
I miss being bachelor 😀😀 kufanya nacho kitaka sizinguliwi, holiday kila mwaka Spain, Italy, dubai, Canada, sasa nipo kwangu nalea vijana☺
Wanaume wa chips siku izi mnatutia aibu...Mtoto mzur amejieleza kwa mafumbo haja yake badala ya kumalizana naye kimya kimya mnamuacha anaendelea kujibu comment hapa......! Enz zangu mm....! I wish I could turn back the tym... Kwa kule upareni ukiacha embe dodo kama hili wazee wanakupa laana.
Sifa za kijinga
Hahahahahaaaa nimecheka kama chizi.
Hii ndio raha ya JF bwana.
Ghibuuuuuuu naona usingle unaniletea shidaa 😆😆
Wanaume wa chips siku izi mnatutia aibu...Mtoto mzur amejieleza kwa mafumbo haja yake badala ya kumalizana naye kimya kimya mnamuacha anaendelea kujibu comment hapa......! Enz zangu mm....! I wish I could turn back the tym... Kwa kule upareni ukiacha embe dodo kama hili wazee wanakupa laana.
Having some fun