I miss being in relationship

I miss being in relationship

Yan umenichekesha afu nikakuonea huruma pia kukujibu......asa huyo mwanaume umemuona wap kama uliona unadanganyika si ungepita kimya kimya tuu kwan lazima udondoshe comment hapa ndugu yangu.... na huko nyuma umepachunguliaje kama sio na ww mkaaji nyuma..aiseee usinipanikishe mchana mchana endelea na safari zako arif

Sawa mshkaji
 
aisee...haya mambo sio mchezo.. Kuna muda ukaaa unawaza, ivi ningekuwa na MAWAZO hapa pembeni..ingekuwaje...Unamiss vitu adimu hadi roho inachukia....
 
Yan umenichekesha afu nikakuonea huruma pia kukujibu......asa huyo mwanaume umemuona wap kama uliona unadanganyika si ungepita kimya kimya tuu kwan lazima udondoshe comment hapa ndugu yangu.... na huko nyuma umepachunguliaje kama sio na ww mkaaji nyuma..aiseee usinipanikishe mchana mchana endelea na safari zako arif

Arif nani anazingua huyo!
 
Wanaume wa chips siku izi mnatutia aibu...Mtoto mzur amejieleza kwa mafumbo haja yake badala ya kumalizana naye kimya kimya mnamuacha anaendelea kujibu comment hapa......! Enz zangu mm....! I wish I could turn back the tym... Kwa kule upareni ukiacha embe dodo kama hili wazee wanakupa laana.
 
Kama hutaki kumbe ndo unataka hivyo, hope umeshampata
 
. Lilmashy
Unazingua,
funguka tu umemisi gegedo na unatafuta mtu wa kukukaza
 
Last edited by a moderator:
Wanaume wa chips siku izi mnatutia aibu...Mtoto mzur amejieleza kwa mafumbo haja yake badala ya kumalizana naye kimya kimya mnamuacha anaendelea kujibu comment hapa......! Enz zangu mm....! I wish I could turn back the tym... Kwa kule upareni ukiacha embe dodo kama hili wazee wanakupa laana.

Haaha wazee wa kipare noma
 
Kwa hiyo bado uko single au vp subiri nije huko 2we double tuongee hujaiblock lkn
 
Duuuuh kua single ni shida saa ingine...yes unakua free at times but being with someone pia ina umuhimu wake.namiss kudeka,kuulizana uko wap, hangout na kuzinguana sometimes. .hahahahaaa (msipanic basi..i just say wat i fill maana kuna watu wana maushauri ya kuumiza roho).

Pm me lilly am single too
 
Kwahiyo unataka mitongozo PM sio..!??
Hatudanganyiki.
 
Duuuuh kua single ni shida saa ingine...yes unakua free at times but being with someone pia ina umuhimu wake.namiss kudeka,kuulizana uko wap, hangout na kuzinguana sometimes. .hahahahaaa (msipanic basi..i just say wat i fill maana kuna watu wana maushauri ya kuumiza roho).

I like the creativity. Good luck.

Ha ha ha ha ha ha......no brainer!
 
Honestly, natamani nikuone!

Sorry kua single haimaanishi umekosa mtu...pia yanaweza kua ni maamuzi..au pumziko la muda flani ukiniona live nafikiri utatengua kauli yako.
 
Back
Top Bottom