Maji tu yanatosha kupooza kiu !!! "the rest niachie mie....Lily"Thank you...unakunywa soda gani vileeeee ?  maana kuna watu wana negative thoughts tuu vichwani mwao
Kama huna majibu ya kun.. basi aliyejuu ashukuriwe. Ila ni vyema ukaondokana na majibu ya mkato maana akinababa huwa tunawakimbiaga na baadaye mnalia ati nimekuwa single, mara umeniharibia maisha, umenichezea etcSorry kua single haimaanishi umekosa mtu...pia yanaweza kua ni maamuzi..au pumziko la muda flani ukiniona live nafikiri utatengua kauli yako.
Hahahhaha bora niku pm wewee et eeeh
Kwa ID za JF hilo sio ajabu. Halafu kwa majibu yenye kiburi kama haya unategemea nani adumu na wewe ? Anyway, karibu chamber - a.k. a pm.Kuna lily mwanaume?
Kama huna majibu ya kun.. basi aliyejuu ashukuriwe. Ila ni vyema ukaondokana na majibu ya mkato maana akinababa huwa tunawakimbiaga na baadaye mnalia ati nimekuwa single, mara umeniharibia maisha, umenichezea etc
Duuuuh kua single ni shida saa ingine...yes unakua free at times but being with someone pia ina umuhimu wake.namiss kudeka,kuulizana uko wap, hangout na kuzinguana sometimes. .hahahahaaa (msipanic basi..i just say wat i fill maana kuna watu wana maushauri ya kuumiza roho).
Kwa ID za JF hilo sio ajabu. Halafu kwa majibu yenye kiburi kama haya unategemea nani adumu na wewe ? Anyway, karibu chamber - a.k. a pm.
Ingependeza ukatoa na sifa zako basi mrembo?...mie nipo single nataka nichukue fulsa.
Wadau msidanganyike, kuna mwanaume nyuma hii ID ya lilimashy
Mke huyoo mkuu nishamsoma number ha ha ha
Naenda kulala kwani Meseji sentiDaaaah naona kama unausingizi ukalalee sijui..maana sidhani kama umesoma vizur..kwan umeona jibu baya hapo baba angu mpaka utoe ushaur wote huu..aiseeeeee 
hahaha wacha jamaa apewe FULSA yake