I miss being in relationship

I miss being in relationship

Duh! Naomba basi tukolabo... Sitakubana ila nitapunguza uhuru wako kutoka asilimia mia hadi asilimia 95 tu!
 
hili dume linataka coments 2. haya hiyo yakwangu. ukitaka vingine mtafute nyoso.
 
hili dume linataka coments 2. haya hiyo yakwangu. ukitaka vingine mtafute nyoso.

Nakusamehe bure maana hujui utendalo...comment yako tuu inaonyesha jinsi ulivo limbukeni ukiendelea hvi nyoso atakuanza wewe...shtuka bas
 
Kuwa kwenye uhusiano ni jambo lenye kheri hasa ukiwa na mtu ambae unampenda na yeye anakupenda.
Kila mtu hufarijika kwa kiasi kikubwa kuona Kuna mtu nyuma yake mwenye kumjari.

Inauna sana kuona unavaa nguo hakuna mwenye kukuambia umependeza. Inasikitisha sana kuona hakuna mtu mwenye kukupa faraja pindi unapopambana na Ugumu wa aina yoyote. Lakini ni simanzi na majonzi pia kuona huna mtu ambae ni msiri wako, mtu unaeweza kujifunua kwake na yeye akajifunua kwako.

Umeongea vizur sana..ila siku izi mambo yamebadirika mno furaha zimekuwa ni adimu mno nazani ni bora uwekeze kwa watoto watakupa furaha ila siyo wapenzi kwakwel
 
uwiii mi nmechoka wee umemiss!!!??? ingia tu ila usiingie kichwakichwa shoga
 
Duuuuh kua single ni shida saa ingine...yes unakua free at times but being with someone pia ina umuhimu wake.namiss kudeka,kuulizana uko wap, hangout na kuzinguana sometimes. .hahahahaaa (msipanic basi..i just say wat i fill maana kuna watu wana maushauri ya kuumiza roho).

Vipi hujamiss kucheat pia?
 
Back
Top Bottom