I’m 40-Years-Old today

Happy birthday director mungu aendelee kukupa miaka mingi zaidi
 
Last edited by a moderator:

Happy birthday mdogo wangu, sasa ukiniona mimi kama vile nimemaliza std 7 mwaka huu. Ila ongeza bidii sana hapo kwenye RED kwani wakati umri unakupungia ndio kwanza vi mikatiko vinazidi kuibuka. ONYO! MKE WA MTU SUMU LA UTANG'ANG'ANIANA.
 
!awwww what alife style to live! Happy Birthday director 1, may u live to blow out a 150 candles!!
 
Last edited by a moderator:
Happy birthday mkuu!!! Endelea kutusogelea wwakongwe!! Nimeipenda hiyo 'silali bila kuonja'. Ha ha ha ha!! Kwa life style yako it is true!!! Mazoezi and health eating style ni majibu ya kila kitu!!! Hakuna cha menopouse, sijui udindaji, sijui magoli, yaani mambo kama kawa tu!!! Ha ha ha ha!!! Heshima ndani ya nyumba inasimama kibarabara!!
 
Wakuu nashukuru kwa kunitia moyo,aliyesema Life start at 40 hakukosea,nimeanza life ambayo sijawi kuishi,najipenda kuliko zamani,wee acha tu!
 
Happy birthday mdogo wangu, sasa ukiniona mimi kama vile nimemaliza std 7 mwaka huu. Ila ongeza bidii sana hapo kwenye RED kwani wakati umri unakupungia ndio kwanza vi mikatiko vinazidi kuibuka. ONYO! MKE WA MTU SUMU LA UTANG'ANG'ANIANA.

Gundi Mkuu.. sio sumu tena..
 
Hongera director1 na Happy Birthday. Pia jiandae utaanza kudharauliwa na jamii inayokuzunguka kwani kuna tabia ya kuwanyanyapaa wazee na watu wazima kwenye jamii tunayoishi nayo.

Mhhh, mi sijaoan kwenye jamii inayonizunguka. Nadhani kuheshimika haitegemei umri bali tabia yako na mashirikiano(?) yako na jamii inayokuzunguka.
 
Ongeza miaka mingine kama 5 hivi ndio utajua bush na shockupzoba ziko poa ama niaje! Ila hongera umeshakuwa mtu wa makamo sasa!
 
May Everything Happy
And Everything Bright
Be Yours On Your Birthday
From Morning Till Night.
And Then Through The Year
May The Same Thing Hold True
So That Each Day Is Filled
With Life’s Best Things For You!
Happy Birthday to you
 
Your not forty, your 14,600 days old - "Bonnidette Lantz"

HAPPY BD Director1
 
Nadhani ni siku nzuri pia kuuliza maswali yasiyoulizika siku zingine!! Mkuu director1, nini asili ya jina unalotumia JF? I just wanna know. Natanguliza shukrani.
 
Nadhani ni siku nzuri pia kuuliza maswali yasiyoulizika siku zingine!! Mkuu director1, nini asili ya jina unalotumia JF? I just wanna know. Natanguliza shukrani.

Mkuu Ukenyenge,kwa kuwa leo ni siku yangu maalam,naomba nipumzike nitakujibu wakati mwingine
 
HAPPY birthday Director1 lakini hujafikisha 40 kwa kufanya mazoezi. Ni vizuri kufanya mazoezi lakini subiri ule 100 ndo utuambie siri ya mafanikio yako.
 

happy birthday mkare wao director1
 
Last edited by a moderator:
tokea nilipogonga 48 nilianza na bearing kodogo kodogo zinaanza kuwa kavu nimejaribu kutia grease lakini wakati mwengine zinakuwa kavu hasa kwenye knees macho yameanza kutokuona sawasawa
Hongera sana Director lakini anza punguza baadhi ya mabo huezi jua kuwa mwili unaeza choka kwa mazoezi pia punguza mechi za 6x6 zinapunguza grease kwenye bearing (lakini usiwache)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…