I love you............the most "desirable" mmu females

Am humbled!

Ujue hata mie nakulav sana maana ni mdogo wa fulani afu room mate wa Mwali

My pleasure......jioni ya hivi karibuni ntakualika togwa pale nyumbani halafu Mwali namfukuzilia mbali.
Wanywa togwa wewe?
 
wala haiusu Husn,we mwache tu huyu mchuchu ,namlia nyomi iko siku ataingia 18 zangu,ujue nini Ambitious hivi kweli mtu akiingia anga zako na wewe umewekeza inakuwaje,si panachimbika mkuu?

Umewekeza Arusha au Manyoni?
 
wala haiusu Husn,we mwache tu huyu mchuchu ,namlia nyomi iko siku ataingia 18 zangu,ujue nini Ambitious hivi kweli mtu akiingia anga zako na wewe umewekeza inakuwaje,si panachimbika mkuu?

Lazima umuharibie mkuu...kwanza unam-Lusinde akijifanya mjanja zaidi unamtindua mbavu.
 
BelindaJacob -anapenda michezo na mimi na mwanamke anayependa michezo damudamu ofcoz na lips zinachangia

Ambitious thanks mannnnn!!..itabidi siku moja tukaangalie football hata pale brajec..na hizi lips kweli nimejaaliwa:))

Hata nami lips za Belinda, zinanitoa Udenda! (For the record; l am into Men)

Kwenu wachawi nini???? LOL

Kaunga ..thank you na umenichekeshaje mamii maana imebidi utole ''clarification' ha ha,..Unaonekana ni mdada mmoja mrembo, intelligent na mcheshi sana..napenda kukusoma uchangiaji wako!!
 
afu wewe, naskia Eliza wa T alikukimbia sababu una sumu koko?

Badala ya kubweka unawika.

wa kumtoa mshipa bishanga nani?hata yule bwana wa indefatigability (sadamH) alinishindwa itakuwa MMJ na hako kajembe kake? don't play with this number,kina kirefu hapa!
 
Kongosho ntamwambia Mwali akamtembeze mbwa wake:A S shade:,kisimani hawezi asije akatangulia yeye badala ya ndoo.
 
Last edited by a moderator:
wacha kunidanganya, mie na Ricky unatupenda sawa?

Wakati siku ile ulinishusha kwenye pikipiki yako ukampandisha ricky.

Hahaha Kongosho haunaga dogo wewe! Yale ya mwaka ule kwenye pikipiki mpaka leo unakumbuka!
Ofcoz kwenye scale yangu ricky ni wa kwanza.. Hapo umenikamata.
 
Last edited by a moderator:
Hahaha Kongosho haunaga dogo wewe! Yale ya mwaka ule kwenye pikipiki mpaka leo unakumbuka!
Ofcoz kwenye scale yangu ricky ni wa kwanza.. Hapo umenikamata.

Amyner you are ma number 1
I real admire you...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom