I love you............the most "desirable" mmu females

mimi nawadizaya (namaanisha admire if l am allowed) wengi
boflo; napenda tunavyogombea ......
kongosho; it is hard not to like 'it' lol the boss; anavyozimeneji sh
ashadii; mabusara limited by gurantee!
smile; she is like a junior sister l never had! mzee mwanakijiji; inapendeza kujua kumbe naye huwa ana muda wa kuwazia mahusiano mapenzi na urafiki
dark city, anawakilisha mabusara kwa upande wa wanaume
husninyo & nyani ngabu; napenda wakitupiana madongo yenye not more than 3 words
kikungu; you are the best bro in the whole world; in everything!
Bwana the list is tooooo long, kifupi nawapenda wote!
thanks kaunga mi too nakuadmire kweli
mimi kiukweli mmu bwana ni familia yangu nayoikubali sana
ndo maana mimi huku huwa najiexpres personaly
ingekuwa sio mmu ningeshacommit suicide long time...
 
Kaunga, mie napenda unavyomchangamsha nanii akitaka kusinzia.

mimi nawadizaya (namaanisha admire if l am allowed) wengi
Boflo; napenda tunavyogombea ......
Kongosho; it is hard not to like 'it' LOL
The Boss; anavyozimeneji SH
AshaDii; mabusara limited by gurantee!
Smile; she is like a junior sister l never had!
Mzee Mwanakijiji; inapendeza kujua kumbe naye huwa ana muda wa kuwazia mahusiano mapenzi na urafiki
Dark City, anawakilisha mabusara kwa upande wa Wanaume
Husninyo & Nyani Ngabu; napenda wakitupiana madongo yenye not more than 3 words
KIKUNGU; you are the best bro in the whole world; in everything!
Bwana the list is tooooo long, kifupi nawapenda wote!
 
Last edited by a moderator:
thanks kaunga mi too nakuadmire kweli
mimi kiukweli mmu bwana ni familia yangu nayoikubali sana
ndo maana mimi huku huwa najiexpres personaly
ingekuwa sio mmu ningeshacommit suicide long time...

I know, utakuwa suprised ukiambia MMU ni refuge ya wengi tu yanapotutinga. Nakupenda, ulivyo muwazi, ulivyo real na jinsi ulivyo 'urself'. Keep it up!
 
He he he he, tena umwamshe tu
Ntakugawia na sindano ya kumdungua kodogo akijidai kulala.

I told you before; u r bad news. Sasa Kongosho; how can you leave the sleeping ....... sleep! To do that you must be out of ur mind!

Gal, you always make my days, sleepless nights, and boring weekends! You are the best!
 
He he he he, tena umwamshe tu
Ntakugawia na sindano ya kumdungua kodogo akijidai kulala.

Duh; kwa miwivu yako hukawii kunipa dozi ya Valium ili asiweze kuamka na kusimama kwa miguu yake mwenyewe, nishakustukia.... kwani mimi nimekuja mjini jana.... LOL
 
Mimi nampenda Mwali anayempenda Erotica wanasema ukipenda boga penda na ua lake,pia ni mama mwenye nyumba wangu nikichelewesha kodi huwa namkwepa humu.
Smile & Preta -nyinyi mnanitajirisha bila kujua na misemo na mijadala yenu ya mwanaume hela.Inspirational kweli.
Kongosho -huyu ni definition ya neno 'humor'.
AshaDii -huyu ni super versatile consultant wewe leta suala lolote hapa umefika.
Lizzy -she is what she is kama hautaki ka-appeal kwa Muumba.
Husninyo -yuko shule huyu ila nina mpango wa 'kumshutura' kwa maana ya hili zaidi aulizwe Bishanga.
BelindaJacob -anapenda michezo na mimi na mwanamke anayependa michezo damudamu ofcoz na lips zinachangia.
Kaunga -she's good at arguing and convincing too,i wonder if she's either a real estate broker or politician.

Ngoja niendelee kupalilia magimbi yangu nitakesha bure kuwataja.
 
Last edited by a moderator:
Mimi nampenda Mwali anayempenda Erotica wanasema ukipenda boga penda na ua lake,pia ni mama mwenye nyumba wangu nikichelewesha kodi huwa namkwepa humu.
Smile & Preta -nyinyi mnanitajirisha bila kujua na misemo na mijadala yenu ya mwanaume hela.
Kongosho -huyu ni definition ya neno 'humor'.
AshaDii -huyu ni versatile consultant wewe leta suala lolote hapa umefika.
Lizzy -she is what she is kama hautaki ka-appeal kwa Muumba.
Husninyo -yuko shule huyu ila nina mpango wa 'kumshutura' kwa maana ya hili zaidi aulizwe Bishanga.
BelindaJacob -anapenda michezo na mimi na mwanamke anayependa michezo damudamu ofcoz na lips zinachangia.
Kaunga -she's good at arguing and convincing too,i wonder if she's either a real estate broker or politician.

Ngoja niendelee kupalilia magimbi yangu nitakesha bure kuwataja.
ahaaa hapo kwa@lizzy nimependa
 
Mimi nampenda Mwali anayempenda Erotica wanasema ukipenda boga penda na ua lake,pia ni mama mwenye nyumba wangu nikichelewesha kodi huwa namkwepa humu.
Smile & Preta -nyinyi mnanitajirisha bila kujua na misemo na mijadala yenu ya mwanaume hela.Inspirational kweli.
Kongosho -huyu ni definition ya neno 'humor'.
AshaDii -huyu ni super versatile consultant wewe leta suala lolote hapa umefika.
Lizzy -she is what she is kama hautaki ka-appeal kwa Muumba.
Husninyo -yuko shule huyu ila nina mpango wa 'kumshutura' kwa maana ya hili zaidi aulizwe Bishanga.
BelindaJacob -anapenda michezo na mimi na mwanamke anayependa michezo damudamu ofcoz na lips zinachangia.
Kaunga -she's good at arguing and convincing too,i wonder if she's either a real estate broker or politician.

Ngoja niendelee kupalilia magimbi yangu nitakesha bure kuwataja.

Hata nami lips za Belinda, zinanitoa Udenda! (For the record; l am into Men)

Kwenu wachawi nini???? LOL
 
mimi nawadizaya (namaanisha admire if l am allowed) wengi
Boflo; napenda tunavyogombea ......
Kongosho; it is hard not to like 'it' LOL
The Boss; anavyozimeneji SH
AshaDii; mabusara limited by gurantee!
Smile; she is like a junior sister l never had!
Mzee Mwanakijiji; inapendeza kujua kumbe naye huwa ana muda wa kuwazia mahusiano mapenzi na urafiki
Dark City, anawakilisha mabusara kwa upande wa Wanaume
Husninyo & Nyani Ngabu; napenda wakitupiana madongo yenye not more than 3 words
KIKUNGU; you are the best bro in the whole world; in everything!
Bwana the list is tooooo long, kifupi nawapenda wote!

Ahsante sana Kaunga,

I am humbled by your comments and appreciation for Babu!!

Mie sina la kusema especially kuhusu hili jukwaa la MMU na wadau wake wote...

Nina marafiki wengi, wajukuu kibao na wazee wenzangu wasio na idadi!!

Kikubwa zaidi, kila siku nagundua kitu kipya......It never stops to amaze me!

Nawapenda wote (Wadada na kaka zao),

Babu DC!!
 
Umejuaje? Ningekupa kloroform kabisa.
Na usipoangalia nakumwagia tindikali

Afu unajua kuwa mie nafanana sana na Omotola hasa macho?

Dark City, ujue wewe huwa ni ikweta yangu, nikiona sielewe kitu, wewe ndio huwa mtu wa mwisho kunielewesha.
Na mawazo yangu yakichengana na yako huwa napata shida sana.

Duh; kwa miwivu yako hukawii kunipa dozi ya Valium ili asiweze kuamka na kusimama kwa miguu yake mwenyewe, nishakustukia.... kwani mimi nimekuja mjini jana.... LOL
 
Last edited by a moderator:
Mimi nampenda Mwali anayempenda Erotica wanasema ukipenda boga penda na ua lake,pia ni mama mwenye nyumba wangu nikichelewesha kodi huwa namkwepa humu.
Smile & Preta -nyinyi mnanitajirisha bila kujua na misemo na mijadala yenu ya mwanaume hela.Inspirational kweli.
Kongosho -huyu ni definition ya neno 'humor'.
AshaDii -huyu ni super versatile consultant wewe leta suala lolote hapa umefika.
Lizzy -she is what she is kama hautaki ka-appeal kwa Muumba.
Husninyo -yuko shule huyu ila nina mpango wa 'kumshutura' kwa maana ya hili zaidi aulizwe Bishanga.
BelindaJacob -anapenda michezo na mimi na mwanamke anayependa michezo damudamu ofcoz na lips zinachangia.
Kaunga -she's good at arguing and convincing too,i wonder if she's either a real estate broker or politician.

Ngoja niendelee kupalilia magimbi yangu nitakesha bure kuwataja.

Wewe Ambitious,

Mbona unataka kuleta mambo ya chagulaga enzi hizi za dotcom?

Husninyo akikubaliana na hiyo biashara namwondoa kwenye orodha ya wajukuu zangu...Lol!!

Babu DC!!
 
Back
Top Bottom