I love you............the most "desirable" mmu females

KIKUNGU

JF-Expert Member
Nov 24, 2011
845
585
Wanajamvi, siku sio nyingi sana nilikuwa naishi sayari nyingine kwahiyo JF was not in my menu.No sooner nilipokuja JF niliona nilIkuwa nimechelewa,kwa hiyo kuna watu walikuwepo JF MMU hawapo tena,kuna wengine walikuwepo kama kinafulani wakageuka kuwa kinafulani,kuna wengine nasikia ni wake-waume………duh?.........napenda kila kila kitu ndani ya MMU……..hata ule uzi wa juzi……."lets talk about sex Jf while am here" ya nani vile(aah ule wimbo fulani wa Madona) au maneno na ushauri mtamu wa OSHADII au mafupisho ya TABASAMU hata utata wa kile kiungo cha ndani ya tumbo………unachangamsha sana na kufanya wadada wa MMU kuwa "DESIRABLE"

Nimejaribu kuichukulia "DESIRABLE" sio kwa maana ya uhalisia wake bali kwa upana zaidi ili ipanue na ihusishe kila mhusika

………………having pleasing qualities, worth seeking, advantageous, beneficial, wise…….. not only that but more than that according to your own "taste" of being "DESIRABLE",………….bodacious, sexy, dishy, hot, luscious, toothsome……………The "taste" will never ends, couldn't starts either…………………intellectual, sex-know-all,beautiful AVATARED chicks……………….Ooooh not them……….,impolitic, imprudent, inadvisable, inexpedient, injudicious, unwise……………,hata hawa pia jamani………washairi,wagani wa mapenzi na mahusiano,viranga wa mapenzi,……………..

Jamani tunawapenda sana WADADA wa MMU ni wenzetu,tunafrirt humu pamoja ,tunapeana PM wakati mwingine…….hata kuwa wapenzi/marafiki kuanzia humu humu pengine hata ndoa zipo zilizoanzia humu na labda zitakuwepo baadae…………….te te te te.Tunashare machungu na matamu ya mapenzi na mahusiano hata urafiki,JF imetufanya tuwe karibu kwa njia ambayo ni vitu vichache sana vinaweza kuwakutanisha watu wengi kiasi hiki.


Kwangu mimi wadada wote wa MMU ni "DESIRABLE" kwa upana wake lakini "taste" yangu yaweza kuwa tofauti na yako.Naomba tushare pamoja hii "DESIRABLE" ya wadada wa MMU,sio lazima uwataje/mtaje mhusika/wahusika unaweza tupa qualities zake na sababu zako za kwa nini ni "DESIRABLE".Na haishii kwa wakaka tu hata wenyewe kwa wenyewe mwaweza onana ni "DESIRABLE" pia


Mbarikiwe sana na mwanzo mzuri wa weekend
 
Hivi hii ni kwa wadada tu au na sisi tunaruhusiwa kuchangia?
 
mimi nawadizaya (namaanisha admire if l am allowed) wengi
Boflo; napenda tunavyogombea ......
Kongosho; it is hard not to like 'it' LOL
The Boss; anavyozimeneji SH
AshaDii; mabusara limited by gurantee!
Smile; she is like a junior sister l never had!
Mzee Mwanakijiji; inapendeza kujua kumbe naye huwa ana muda wa kuwazia mahusiano mapenzi na urafiki
Dark City, anawakilisha mabusara kwa upande wa Wanaume
Husninyo & Nyani Ngabu; napenda wakitupiana madongo yenye not more than 3 words
KIKUNGU; you are the best bro in the whole world; in everything!
Bwana the list is tooooo long, kifupi nawapenda wote!
 
Back
Top Bottom