I Love You Jamii Forum, No One Is Like You

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,438
Unakuta mke ameingia kwa jina lingine, mume amejiregister kwa jina lingine, wapostiana, unafika wakati wa msg za PM, unakuta, mhh, akitupia number ya simu, unaifahamu, unapotezea. Nyumbani maisha yanaenda kama kawa.
 
We na story zako bana, hivi ile ya UK na yule Jah kweli?
 
Na tusipoangalia tuta piemiana (PM) mpaka na baba zetu....
 
Back
Top Bottom