ndo ilikua njia yangu
aceroty
Hapo ndipo ulipokosea. Mademu hawataki urafiki na mwanaume na hawatakuambia. Wanajua kwamba kwa kuongea nao unataka kuwatomba na hawatakumbia! Huu ndio msaada wangu kwako->>
Niliwahi kuwa na tatizo kama la kwako:naweza nikavutiwa demu, badala ya kumwambia ninacho kitaka kwake[kumtomba] nilikuwa natumia gia za urafiki kwa kuhisi kwamba labda kwa kuongea nae sana, au kuchat nae kwenye simu atavutiwa na mimi.
Mademu wengi niliyo jaribu kuwatongoza kwa njia hii waliishia kunitaka kiurafiki na sio vinginevyo. Na huwezi ukafanya chochote kubadilisha hili jambo. Utaishia kupoteza muda wako na moyo wako utazidi kuumia.
Anza kuongea na mademu wengine. Anza kuongea na demu mmoja kila siku usiomjua; mtaani kwenu,shuleni, ofisini, kwenye basi, msikitini,mlimani city...sehemu yeyote ambayo ina sketi fupi na ndefu. Dhumuni ya kufanya hivi ni kukusaidia wewe kumsahau huyo ambaye hakutaki. Narudia tena, huwezi ukambadilisha mawazo akufikirie tofauti. Umeshazingua. Inabidi usonge mbele na maisha yako.
Naomba nikutahadharishe. Siyo kila demu utakayeongea naye, ambaye humjui, atataka kuongea na wewe, au kuwa mpenzi wako. Wengi wao watakuchunia,wengine watakusikiliza alafu watakupotezea. Hilo sio tatizo lako. Mademu wengi wana mabwana zao,wengine hawavutiwi na wewe, wengine wapo kwenye siku zao n.k.. Lakini kati ya hao kuna ambao watasikiliza sera zako. Ni jukumu lako kuwatafuta na kutatua matatizo yako.