I love you as my brother

I love you as my brother

nlikuwaga namjibu zombie hivyo hivyo, sasa hivi nkimuwaza tu natupa skin tait kule.

Soma between the legs upate anachokuambia.

hahahaa naomba nicheke tu..........mana mh....
 
hapo amemsliza kila kitu mzigo atang'oa mapemaaa

Anaweza akaliwa visenti vyake halafu asiambulie kitu, kuna wadada makatili, wanakubakisha na bukta tu, unabaki unawaza pesa zote nilizohonga si bora ningempelekea mama yangu kijijini akashukuru na kunipa baraka kuliko kuhonga halafu usione ndani.
 
sie wa kizamani hadi magagulo tunayo.

Bikini nawaachia wenyewe, sijazoea kujif.r.

skin tyt zinavaliwa bado?mana naona siku hizi wengi ni bikini tu hata kama wamevaa skirt
 
Kweli tunatofautiana!
Yaani kuna watu mnapenda kudanganywaaaaaa!

Ke ni jasiri sana akikupa kauli kama hiyo! Na ke hawakurupuki pale watoapo kauli hiyo!

Huna njia zaidi ya kuonekana limbukeni!
Kama vipi kamroge!



Uongo mwingine mtamu wewe! Ila jamaa achape lapa, maana kama kaigomea hiyo ya ukaka itayofuata ni kutupwa mazima
 
Kweli tunatofautiana!
Yaani kuna watu mnapenda kudanganywaaaaaa!

Ke ni jasiri sana akikupa kauli kama hiyo! Na ke hawakurupuki pale watoapo kauli hiyo!

Huna njia zaidi ya kuonekana limbukeni!
Kama vipi kamroge!

kweli comment yako Mashaxizo inaonekana kuwa na ka ukweli ndani yake.,
 
Last edited by a moderator:
I love u as ma brother
hilo ndo jibu nililopewa kutoka kwa mrembo niliyemtokea takribani mwezi mmoja uliopita,,
kiukwel imenikata stimu baada ya kusikia ivyo kutoka kwa mrembo huyo.,
nifanyeje wana MMU ili aweze kutengua kauli yake na kuingia ndani ya box.,!


kwaiyo umeshindwa kumshawishi?
basi muone kama shemeji yako.
 
Get her soon, she's olready yours. Sema we ndo mzito.
 
Back
Top Bottom