I love you as my brother

I love you as my brother

Al-shabaab

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2013
Posts
1,791
Reaction score
620
I love you as ma brother, hilo ndo jibu nililopewa kutoka kwa mrembo niliyemtokea takribani mwezi mmoja uliopita,, kiukwel imenikata stimu baada ya kusikia ivyo kutoka kwa mrembo huyo.

Nifanyeje wana MMU ili aweze kutengua kauli yake na kuingia ndani ya box.,!
 
I love u as ma brother
hilo ndo jibu nililopewa kutoka kwa mrembo niliyemtokea takribani mwezi mmoja uliopita,,
kiukwel imenikata stimu baada ya kusikia ivyo kutoka kwa mrembo huyo.,
nifanyeje wana MMU ili aweze kutengua kauli yake na kuingia ndani ya box.,!

Mzee al shabab kwanini usimlipue na bomu?
 
Mpotezee tu na kumuona kama sista wako. Mapenzi hayalazimishwi.

I love u as ma brother
hilo ndo jibu nililopewa kutoka kwa mrembo niliyemtokea takribani mwezi mmoja uliopita,,
kiukwel imenikata stimu baada ya kusikia ivyo kutoka kwa mrembo huyo.,
nifanyeje wana MMU ili aweze kutengua kauli yake na kuingia ndani ya box.,!
 
Last edited by a moderator:
Mbona staki mwenzie basi!!,wako wengi watakao kuona buzi huyo anaekuona kaka na wewe muone Dada............
 
mpereke sehem mbali na home then mchereweshe kisha chukua room yenye double. mwache alale kitanda chake nawe chako. asipokuja kitandan kwAko mpaka asbuhi, huyo acha abaki dadako tu
 
nlikuwaga namjibu zombie hivyo hivyo, sasa hivi nkimuwaza tu natupa skin tait kule.

Soma between the legs upate anachokuambia.
 
mtu kama huyu ng'ang'anizi unachuna mpaka ngozi
..!
 
Kweli tunatofautiana!
Yaani kuna watu mnapenda kudanganywaaaaaa!

Ke ni jasiri sana akikupa kauli kama hiyo! Na ke hawakurupuki pale watoapo kauli hiyo!

Huna njia zaidi ya kuonekana limbukeni!
Kama vipi kamroge!
hapo unakuta ashakuona we si wa vyango vyake,akikuambia hivo unatakiwa unamjibu tu "POA",ataanza kujiuliza mbona huyu jamaa kajibu short hivi alikuwa serious kweli!tatizo ukiendelea kumbembeleza unajishushia thamani
 
nlikuwaga namjibu zombie hivyo hivyo, sasa hivi nkimuwaza tu natupa skin tait kule.

Soma between the legs upate anachokuambia.
skin tyt zinavaliwa bado?mana naona siku hizi wengi ni bikini tu hata kama wamevaa skirt
 
Mkuu nikwambie kitu😀emu mwenye viwango haambiwi siku moja tu akakubali kama wale akina dada wanaofanya biashara ya huduma za ngono hivyo kaza buti utakuja niambia mbeleni kwamba umefanikiwa. Cha msingi ni kwamba anazungumza,angekaa bubu hapo ingekuwa shughuli pevui
 
dah usemayo yanaukweli ila kuna kiwango cha kubembeleza bhana sio we mwaka mzima unambembeleza tu kwani mwanamke yuko peke yake?!hata kama ni kumpenda kuna wakati unapotezea tu kama mtu hasomeki mana utakuta jamaa anaziti kuchunwa tu girl akiwa na shida sijui vocha, matumizi nk jamaa anatoa akiamini eti anatengeneza mazingira ya kumu win kumbe hamna kitu!
 
anakpenda kama bro! Gud. Mualike akutembelee kama sister, mkae kitandan kama ndugu.

Jibu hlo lakukatisha tamaa.!?? Komaa kiume. Argh!.
 
Back
Top Bottom