i love u so much please understand me

Aisee labtec1 hii story yako (kama ni ya kweli) imenifanya nianze kuiogopa JF, it's so scaring and likely to make me so conscious with everybody!

Ila kinachonishangaza ni kwamba imekuwaje haya yote yakutokee wakati una takribani mwezi mmoja tu tangu ujiunge na JF? inamaana uliingia tu na kuanza kuchat naye kwa PM? au ulitangaza humu kuwa unahitaji boy friend/mpenzi ndo aka-take advantage? hebu tujuze nasi tuchukue tahadhali maana .......!
mito soma viruzi tu utaelewa...no hurry just read slowly
 
kwaiyo ushauri wako ni upi

Take a hard look at yourself. Perform a reality check. Swallow your pride and admit some of the mistakes that you did along the way. Reach out to him. Apologize if you see it necessary. After that the ball will be in his court.
 
thank you i will give the feedback later
 
afu umempeleka wapi yule?

Au yuko shule???

Take a hard look at yourself. Perform a reality check. Swallow your pride and admit some of the mistakes that you did along the way. Reach out to him. Apologize if you see it necessary. After that the ball will be in his court.
 
pole sana,ushauri wangu...just igore abt that...and go on with ur staff.do not think abt that,and dn't force love. Love is not something to be taken for granted.
 
wanaume wa jf,wanapenda sana kutongoza.usipokuwa makini,utajikuta unajisahau na unaingia kimapenzi,wao kwao ni fiction tu.pole sana,kuna mmoja humu alishawahi kulalamika.iwe fundisho jamani,wengi wao humu wana wapenzi wao nje.usikubali hata siku moja,maana kisukari kama mimi,nikimpenda mtu,huwa napenda kweli kweli.ila kwa jf sithubutu.leo atatongoza humu,anaangalia upepo,pengine kesho atatongozwa mwengine face book.akikuchoka wewe,atatafuta mwengine tena.jamani muwe makini.humu jf,sitokutana na yeyote yule.nikiwa na stress zangu,naingia jukwaa lile la private,nafurahisha genge,na sign off najiendea zangu kazini
 
pole sana,
bora kakukimbia ana matatizo huyo ya saikolojia,ni wale wanaopata satisfaction kwa kukeep kitu cha mwanamke ungeenda kumkagua chumbani kwake labda ungekuta picha za wadada wengine kibao,chupi,sidiria etc achana nalo halikufai lingekupa pressure tu.....picha fanya kama umezipoteza...
 
obsession and desperation are not love...

you don't love him

you just don't like yourself that much

so your problem is how you see yourself and how much you love yourself...

love and happiness comes from within not from outside
kumbe unajua kushauri eeeh
 
wanaume wa jf,wanapenda sana kutongoza.

Na wanawake wa JF vipi, wao hawapendi kutongozwa?

usipokuwa makini,utajikuta unajisahau na unaingia kimapenzi,wao kwao ni fiction tu.

Hata wanawake wa JF nao hivyo hivyo. Wengi wao ni wasanii tu na watu tuna first hand experience ya usanii wao. Kwa hiyo mpaka hapo ni ngoma droo.

pole sana,kuna mmoja humu alishawahi kulalamika.iwe fundisho jamani,wengi wao humu wana wapenzi wao nje.

Hata wanawake wa JF nao hivyo hivyo. Wengi wao wana wapenzi wao nje lakini humu wanajifanya wako singo.

usikubali hata siku moja,maana kisukari kama mimi,nikimpenda mtu,huwa napenda kweli kweli.

Hata mimi Ngabu, yaani mimi kama mimi, nikimpemda mwanamke huwa nampenda kweli kweli.

ila kwa jf sithubutu.

Kusema kweli hata mimi nimekoma. So far nimeambulia patupu. Yaani full usanii. Najuta kuwajua hao niliowajua.

leo atatongoza humu,anaangalia upepo,pengine kesho atatongozwa mwengine face book.akikuchoka wewe,atatafuta mwengine tena.

Kweli kabisa. Unakutana na mdada humu unadhani wewe kwake uko peke yako. Kumbe hapa hapa JF mko wengi. Anajitongozesha kwako leo, Facebook anajitongozesha kwa The Boss, Skype yuko na The Finest...akirudi kwako anamuua mmoja wao kati ya hao. Anakusimulia yote kuhusu huyo mtu. Oh yuko hivi, yuko vile. Akitoka kwako anarudi kwa The Boss. Huko anaanza kutiririka kuhusu wewe sasa. Utasikia...'ah yule Ngabu michosho sana. Anajifanya much know sana, anaringa sana, anajifanya eti handsome, n.k.

jamani muwe makini.

Huu ushauri mzuri sana na unahusika kwa jinsia zote. Kuweni makini jamani.

humu jf,sitokutana na yeyote yule.

Hata mimi nimejifunza hilo. Nimekutana na wanawake wasanii sijapata kuona. Chondechonde akina kaka wenzangu. Kuweni waangalifu na hawa wadada wa humu.

nikiwa na stress zangu,naingia jukwaa lile la private,nafurahisha genge,na sign off najiendea zangu kazini

Wewe kweli ni mhudhuriaji na mchangiaji mzuri sana kule.
 
platozoom najuta kumtumia picha zangu
usijute.huji kuwa umeepukika na mengi?si bora imeishia picha tu.au zilikuwa na pozi fulani fulani hivi?ila kama ni za kawaida tu,wala usijali hayo ni mapito tu ya maisha.watu kama leo hulalwa,kesho yake wanaambiwa is over,wewe shukuru mungu tu,usiendelee kumpaisha humu.achana nae
 
Na wanawake wa JF vipi, wao hawapendi kutongozwa?

Hata wanawake wa JF nao hivyo hivyo. Wengi wao ni wasanii tu na watu tuna first hand experience ya usanii wao. Kwa hiyo mpaka hapo ni ngoma droo.

Hata wanawake wa JF nao hivyo hivyo. Wengi wao wana wapenzi wao nje lakini humu wanajifanya wako singo.

Hata mimi Ngabu, yaani mimi kama mimi, nikimpemda mwanamke huwa nampenda kweli kweli.

Kusema kweli hata mimi nimekoma. So far nimeambulia patupu. Yaani full usanii. Najuta kuwajua hao niliowajua.

Kweli kabisa. Unakutana na mdada humu unadhani wewe kwake uko peke yako. Kumbe hapa hapa JF mko wengi. Anajitongozesha kwako leo, Facebook anajitongozesha kwa The Boss, Skype yuko na The Finest...akirudi kwako anamuua mmoja wao kati ya hao. Anakusimulia yote kuhusu huyo mtu. Oh yuko hivi, yuko vile. Akitoka kwako anarudi kwa The Boss. Huko anaanza kutiririka kuhusu wewe sasa. Utasikia...'ah yule Ngabu michosho sana. Anajifanya much know sana, anaringa sana, anajifanya eti handsome, n.k.

Huu ushauri mzuri sana na unahusika kwa jinsia zote. Kuweni makini jamani.

Hata mimi nimejifunza hilo. Nimekutana na wanawake wasanii sijapata kuona. Chondechonde akina kaka wenzangu. Kuweni waangalifu na hawa wadada wa humu.

Wewe kweli ni mhudhuriaji na mchangiaji mzuri sana kule.
hakuna siku niliyocheka kama leo.maana umechambua hasa.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom