i love u so much please understand me

uckute izo picha ulizokuwa unam2mia kakuona we mbaya i mean una sura baya... Hebu kuwa muwazi sister muonekano wako ni mzuri au ni wa hovyo hovyo ili nkusaidie...
 
Mitaani kweenyewe hakuna real lov sembuse mitandaon? Hop umejifunza kutokana na makosa jthd kua bize ili umsahau coz hawez kukupenda hata ufanyeje. Shukuru mungu amekwambia mapema la cvyo ungeji2ndika.
 
huku hamna usiriaz,tena bora huyo ni muungwana,ungetumika mpaka basi kama ingekuwa mwingine!pola,anza upya ila si jf,jaribu fb!!huku kila kitu fake
 
huku hamna usiriaz,tena bora huyo ni muungwana,ungetumika mpaka basi kama ingekuwa mwingine!pole,anza upya ila si jf,jaribu fb!!huku kila kitu ni fake
 
uckute izo picha ulizokuwa unam2mia kakuona we mbaya i mean una sura baya... Hebu kuwa muwazi sister muonekano wako ni mzuri au ni wa hovyo hovyo ili nkusaidie...

Hahahaa...Wee Hamic mussa, mambo gani hayo tena??
 
pole sana ndugu yangu. kua makini namapenzi yahumu. utaishia kudanganywa tuu. usijali mungu atakupa ataekupenda kwadhati nautamsahau kabisa huyo anaekusumbua
 
Dah.. Aisee pole sana bi dada.. Naelewa maumivu ya mapenzi yanavyouma ila jamani wazungu wanasema Love slowly..Unajipa presha ya li mtu ambalo hulijui, si ajabu ukija kuliona lijanaume lenyewe libayaaa.. Achana nae atakuwa ameona you are too beautiful to be with him..! Songa mbele, utampata wa kukupenda.
Asprin, Bishanga, Erickb52, Young_ master na wachimvi wengineo mtoto mpya huyu kajiunga May 28,...You know warra am sayin'
 
Last edited by a moderator:
mtoa mada tupe feedback,ulipotezea picha zako....au bado unakonda kwa ajili yake....:A S cry:
 
Neema wacha kumchokoza mwenzio jmn..ndo anaponya machungu saiv
 
Last edited by a moderator:
Pole dada kwa yalokukuta.

Ila nimejikuta nacheka... Nimekumbuka kipindi kimoja cha Tv nadhani ITV ambapo kuna wadada wanatafuta wanaume wenye pesa.. wao wanapiga simu hovyo hovyo kwa kuotea... akipokea mwanaume wanapanga wakutane mahali.

Akifika mlipohaidiana anapiga simu afu anakwambia mwambie umevaa nguo gani na umesimama wapi... hivyo anakuwa na muda wa kukuchora kama unafaa au la. Kama haulipi anageuza wala hamtakutana.

Kuna siku mdada mmoja katika kati ya hao wawindaji aliambulia kumpigia simu jamaa yule mfupi mpiga debe. We alipomuaona ndio anayepokea simu siku wameaidiana wakutane alitimua mbio.

Sasa dada tukirudi kwako ulikosea kutoa picha zako kwa usomjua. Amekuangalia akaona haujamvutia. Pole.

Na sidhani kuwa alikuwa anatania... alikuwa anajaribu bahati yake kama atapata msichana wa dream yake. Picha zimemtoa dima.
 
natanguliza pole zangu labtec1. kama mtu alishapitia heartache unayoiskia saa hivi, I can only imagne the amount of pain you are in. mimi ningekushauri tu umsahau huyu mkaka, no matter how hard it seems coz love is not something that can be forced or persuade or whatever. kama haijatoka moyoni, sio mapenzi. na hata akibembelezwa leo akakubali kuwa nawe, how long do you think it will last? mwisho wa siku akija akaondoka utakuwa umeumia zaidi.
tena mshukuru sana for not taking advantage of you. kama ni picha tu ulimpa na hakutaka zaidi ujue huyo ni bonge la mtu, hata mie na ustaarabu wangu wote nikipata manzi wa kunizimia its not just her pictures I'll take
:A S-devil4:
mwishowe, hifadhi heshima yako kwake. umesema kwamba mlikuwa mnaongea vizuri mwanzoni before you brought love into the picture. usimsemeshe kwa muda (for ur sake as well as his) na urafiki utarudi taratibu.
navyofikiri, you are still young, utampata mwingine, tena mzuri zaidi, who will appreciate you like u surely deserve. najua ni ngumu, but let go maam, its the only way.
natoa pole zangu tena, ila maumivu ya roho, kama majeruhi mengine, with alot of care and time yanapona
all the best, leh
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom