i love u so much please understand me

hakuna aibu duniani
wakati wee unaona umefanya jambo la ajabu sana unakuta mwenzio kabaka papai

nani mwenye aibu zaidi?

sasa nikiwaza hayo mpz si ndio nitakua hata harusi za ukoo siendi kisa naogopa kua labda mmoja wao ndio alikua yeye
 
nakuelewa my dear, 100 percent.

Ila kila siku why wadada? Mioyo yao mbona haina macho?
Mbona wanaamini haraka sana?
Mbona wanapenda haraka?

Jamani huyu mtengenezaji wa mioyo ya wanawake si aje abadili formula kwa angalau muda mchache?

Sikunangi, i feel you.

Nakusubiri ujue.
 
some people are very exeprt in playing with FEELINGS za watu na ni wengi mno kwenye mitandao
unachotakiwa ushukuru mungu ni
1-hakula mzigo
2-hukupewa fake promise ya kuolewa
3-hamjaonana
kama ni hivo he is is very good at this one( naona zaidi ya wapopoo)
 
Kuna mahali umesema bora ningekuwa mimi ningekulea.... Orayt come this way babe. Afu unambie na ID yako ya awali. Kongosho my asali ya ODM please note.
usijali babu ila nishauri kidogo hapa mana kinachoniuma ni me sending my photos to him
 
usijali babu ila nishauri kidogo hapa mana kinachoniuma ni me sending my photos to him

Mwambie akufanyie feva akurudishie pics zako na negative zake kabisa..... BTW Kama hajazitumia vby kukudhalilisha una bother nini? Ye anabaki na pics zako na wewe unabaki na mwili wenye moyo wako. Maisha yanasonga mbele.
 
Mwambie akufanyie feva akurudishie pics zako na negative zake kabisa..... BTW Kama hajazitumia vby kukudhalilisha una bother nini? Ye anabaki na pics zako na wewe unabaki na mwili wenye moyo wako. Maisha yanasonga mbele.
asante sana babu
 
Aisee labtec1 hii story yako (kama ni ya kweli) imenifanya nianze kuiogopa JF, it's so scaring and likely to make me so conscious with everybody!

Ila kinachonishangaza ni kwamba imekuwaje haya yote yakutokee wakati una takribani mwezi mmoja tu tangu ujiunge na JF? inamaana uliingia tu na kuanza kuchat naye kwa PM? au ulitangaza humu kuwa unahitaji boy friend/mpenzi ndo aka-take advantage? hebu tujuze nasi tuchukue tahadhali maana .......!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom