cheusimangala
JF-Expert Member
- Feb 27, 2010
- 2,585
- 500
Hapana jamani, lazima tuusifie uumbaji wa Mungu....Binti, mzuri, sauti nzuri, wimbo mzuri, kwanini nisiweke kambi hapa? Hebu fumba macho tuombe!
Rev. masa kama kweli una maono utagundua kwamba asprin kilichomvutia juu ya huyu mumbaji kina utata ndani yake!
naogopa kufumba macho sina imani sana na ww mpwa!