Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,372 Feb 18, 2012 #81 Umechukua hatua gani ya kupa kitu kama hicho?
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,827 Reaction score 1,314 Feb 20, 2012 #82 Preta said: jamani sasa hii kwa suala zima la kula bata inakuwaje.....? au nyie full kazi kazi.... Click to expand... Unakula bata kwa sana ..............hii kitu ina music na full ac............yaani ni bata full full
Preta said: jamani sasa hii kwa suala zima la kula bata inakuwaje.....? au nyie full kazi kazi.... Click to expand... Unakula bata kwa sana ..............hii kitu ina music na full ac............yaani ni bata full full
Kiziza JF-Expert Member Joined Dec 10, 2011 Posts 439 Reaction score 77 Feb 22, 2012 #83 MadameX said: Jamani maradhi yangu haya hapa......lazima nichune mtu aninunulie hii kitu, so kaa chonjo lol Click to expand... Mpaka ununuliwe na mwanaume hujiamini??
MadameX said: Jamani maradhi yangu haya hapa......lazima nichune mtu aninunulie hii kitu, so kaa chonjo lol Click to expand... Mpaka ununuliwe na mwanaume hujiamini??