yani kama ulikuwepo mana naishi uko uko morogoro road, Loh mungu anilinde na gari langu wasinifanyie ubaya. we fungua tu mana spare hazikwepeki.
hahahahaa!!
ngoja nikupe story....
kuna wanandoa walikuwa wanapanga mambo yao ya maendeleo,
wakasema watanunua ng'ombe, then, ng'ombe atatoa maziwa, watanunua P/Up ya kuleta majani na kusafirisha maziwa.
Sasa, ikaja issue ya nani ataendesha P/up kupeleka maziwa, na kwenda kuchukua majani Vs nani atazoa kinyesi cha ng'ombe......
Weeeeee.........ugomvi ukazuka, mama anasema yeye ndo mkata majani, ataendesha p/up, mzee anasema, mama zalima azoe kinyesi,
Basi mzee akawaka,,....utazoa, hiuzoi? mama, sizoi,
Mzee, akaaza fujo, akampiga mkewe, akamvunja mkono.
Sasa, mipango tu, ikaishia kwenda kutibu mkono.....kudadeki!!!