Masikini_Jeuri
JF-Expert Member
- Jan 19, 2010
- 6,829
- 1,296
ununue gari kwa kwa zero point billion ushindwe kumudu consumption capacity duuh,kanunue vits ule ac
Mwambie ukweli kaliua , mwenyezi Mungua liyekupa uwezo wa kulimiliki gari kama hili atakuonyesha na na nyenzo za kuyapata mafuta asa sijui hii inaaplly vipi kwa atakayelipata kwa kuchuna mabuzi....................thinking out loudly!