The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,602
- 6,097
Kuna ASTON MARTIN DBS ni noma..Hahahaa, Ivunga.
Kumbe wee ni MPENZI wa Bavarian Motor Work siyo?
Preta, hiyo Mashine X6 linakwenda kwenye $70,000.
Mie ni mpenzi wa huu wimbo wa Rick Ross wa ASTON MARTIN, ila bei lake kidogo linatisha.
Jamani maradhi yangu haya hapa......lazima nichune mtu aninunulie hii kitu, so kaa chonjo lol
So in your conclusion, kuchuna mtu ni kujiuza tu? Still naweza kumchuna mume wangu and fyi I am no muke ya mdhungu. Mkuu inaelekea kuwa wewe una hasira sana na maisha, probably yamekupiga chenga. Oooh nimesahau, the name says it all, utakufa kwa kihoro.
utamchunaje mmeo?kumchuna inaendana neno BUZI, na hukusema mume ulisema mtu,haya ongeza juhudi utafanikiwa
Hapo sasa why umchune.......kama nizawadi stahiki na iko ndani ya uwezo wake yeye atakupatia tu.....sidhani kama unahitaji mbinu za ki machiavelli Umesema kweli nitakufa kwa kihoro.....kama ningepata mwanamke wa design yako! Bahati nzuri sinaye!..
dah sasa mie mwenye Vitz..naona hata aibu
Utawajua wabongo tuu??wanafikiria starehe tuu
Unamaanisha ipi?
BMW - Baba, Mama na Watoto
BMW - Black Man Wheel
BMW - Black Magic Woman
BMW- Be My Wife
BMW - Bring More Women
BMW - Big Money Wasted
Utawajua wabongo tu, hata usafiri wanaona starehe.
We ulitaka wafikirie nini? Kujenga taifa linaloliwa na wenye meno?
I'm afraid that's it..
wrought iron is a no ,no.. i will prefer real steel... Are you able to provide that ??
Kuna ASTON MARTIN DBS ni noma..
Aseeeee!!!!
nani aniwekee kitu cha John Deere 8R seies...............mashine ya ukweli
wewe E wa T,This is one hell of a mashine!!
mtahangaika na model hizo za juzi juzi,
But when one needs a heavy thing,............say whaaaaat!!!!