I Love this...angalia jamaa anavyochungulia

mirindimo

JF-Expert Member
Nov 2, 2009
821
1,337
311760_487435951269294_1694229890_n.jpg

mtoto wa uswazi suala la kuoga ni ugomvi........inakuwa hivi kama kombolela!
 
Hivi kwa nini watoto wanakimbia kuoga, tena ukute maji yenyewe ya moto!
 
majitu makubwa mengine yanaogopa sembuse watoto,likiwa bafuni utasikia linahesabu moja mbili tatu halafu ndo linajimwagia maji huku likisisimka mbaya.unafikiri ni watoto tu.
 
You made my evening. Nimecheka basi!!! Halafu wengine anaruka kabisa kama ng'ombe kisa anafungua maji kwenye shower au kujimwagia kikombe cha maji tena na saut juu mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh.
 
ndio zako hizo mkuu...naona umesimulia kwa ufasaha
 
Ama nimecheka, ila Philipo tuambie kweli, umewaona wapi jamani? Isije ikawa unahusika? Sasa si bora kujichemshia maji kama ya baridi yanahusisha kuhesabu namba?
 
sisi tuna timu yetu ya mpira wanaogopa maji kiasi hawaogi tukitoka mzoezini.yaani wanaogopa haswa.
 
ndio zako hizo mkuu...naona umesimulia kwa ufasaha
wakati fulani nilikuwa sehemu moja inaitwa kidia huko old moshi,kama unavyojua vyoo vyetu vya asili vya majani ya migomba kuna mzee mmoja alikuwa ana kichwa kikubwa sana nilimshuhudia kwa macho yangu anahesabu tena kwa kichaga imu,ziwili,shraru halafu anachota maji anayamwaga pembeni akinguruma ash ahg mmm kuwore mbeu.nasikitika sikijui vizuri kichaga lakini naamini ndivyo alivyokuwa akitamka.mpaka leo nikamtungia jina dingi la ajabu na ndivyo alivyokuja kujulikana baadae cheza na mbeu wewe!
 
You made my evening. Nimecheka basi!!! Halafu wengine anaruka kabisa kama ng'ombe kisa anafungua maji kwenye shower au kujimwagia kikombe cha maji tena na saut juu mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh.
utasikia moja mbili tatuuuuuuuuuuuuu halafu maji mwaaaaaaa.na saa zingi anamwaga pembeni.kwa wengine kuoga kazi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom