vasco da gamma
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 409
- 133
Habari zenu Guys.... mc u so much...... natumain wote mko poa.... jamani mwenzenu nimempenda Mkaka.... mbaya zaidi tupo ofisi moja kila ninapomuona nashindwa kufanya kazi.... natamani ajue lakini tunaheshimiana sana.....i don knw wat to do.... i am in love
hivi heshima inaua mapenzi? maana nimekuwa nasikia sana hizi kauli "namheshimu/nakuheshimu........siwezi kuwa na wewe/siwezi kumwambia/iweje uniambie hayo??
dem mmoja alikua ananiletea swagger za kuinama mbele yanu,kunionesha mapaja,na kifua..,
nikampa finger sku moja...ilibak kidogo apoteze faham
Kupoteza heshima kwa wabongo ni kukaa uchi.... ndiyo maana wanatoa kauli za kiaashi
kwahiyo anafikiri ukiwa mpenzi wake lazima umuone uchi wake?
Price kuna kipindi ulituambia wewe ni bikira na sasa I doubt kama habari ile ni ya ukweli maana sio sifa za bikira kusema mvulana anaye mpenda na kuwa tayari kupoteza bikira yake
Sifa zako leo zimeangukia kwa akina dada wazoefu wa ngono wasio ogopa ku express feelings zao
Lazima
Sa ndo hadi unashindwa kufanya hadi kazi, ukifukuzwa je? Anyway jitahisi umuoneshe lugha ya picha hadi akuelewe, sasa sijui akikutolea nje itakuwaje mmmh
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
kunawanaosema mpaka ndoa na mapenzi yanavunjika kabla ya ndoa. hao unawasemeaje
They fail to be responsible that all
kumbuka tunaongelea kuunganisha vikojoleo
sasa wanafail vipi kuwa responsible
aiseee! kwahiyo akiomba (mpenzi tu sio mume) tu unatoaNgoja nikupe siri moja wanawake wengi wanaamini kumnyima mume kojoleo ndiyo kumfanya akupende au akutafute zaidi lakin hii theory ilikuwa applicable zamani tena maeneo ya vijijini ... saaa kwa sasa ukimbania mume kojoleo zipo barabarani hadi za mia tano so ... so mwisho wa siku ndiyo ugomvi na kuachana kinakuja
aiseee! kwahiyo akiomba (mpenzi tu sio mume) tu unatoa
Hapa sikijibu mkuuu
hahahaha
jibu tu sura yako mimi hata siifahamu