I lose hope and sometimes I give up. I need your advice here

English nyepesi kabisa hii hata mi naimudu nisipokomenti kiinglishi basi mi komamanga..[emoji28]

You loose hope for what..??
If there is no reason who's gonna help you..?
Sometimes no need to worry you better focus on what makes you there.. others have a lot of problems but they still going forward!.. don't be the problem of your own life bro..

Nimejitahidi sana dah! I'm not the komamangazzz..[emoji28]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
As I said If any body he/she wants my full information about this please! Follow me inbox every thing we will talk there.
Wewe ndo mwenye (temptation) halafu unataka tukufuate PM ili na sisi tuwe tempted?? Huna shida ww una biashara zako huko pm
 
NIKICHUNGUZA KWA MAKINI NAONA TATIZO LIPO KATIKA KICHWA CHA MTOA MADA KAMA ANACHAGUA NA JINSIA YA KUTOA USHAURI,ANAKOSA UNYENYEKEVU DAAA NAONA UBADILI KWANZA MTAZAMO KWENYE AYA MADOGO HAFU MABADILIKO MAKUBWA KENYE MASOMO YA TAKUFATA.
 
The most foolish in JF i'v Never see yaan unadhan boys tu ndy wapo bright kwenye ushauri me ni boy ila nakuona wew ni kiazi kwa kwel................ Nosense

Mda mwingne Kama mnakosa vya kuongea nyamazeni au kisa dada zenu na mama zenu walikuwa mapunguani unadhan na wengne watakuwa Kama hao...........Wew ni mjinga tu ulie fundishwa English sasa unataka kujikuta umesoooma kumbe kizibo tu.
We ni fala mmoja tu.
 
Tatizo ujana mwingi!
Punguza stress Dogo, mpaka apa unaonekana mtu wa stress bado na unashindwa kueleweka,
Kingine Dogo ebu jaribu kujichanganya na wadau kupiga nao story za apa na pale, utakuja kugundua changamoto zako ni ndogo saba na kunawatu wanazo kubwa kuliko zako lkn wanasonga mbele,
Chukulia changamoto km fursa iliyopo mbele yako.
 
This is only for boys I m not interested with girls in this thread.I know boys are so kindness than girls they have a good lg to advice others girls are so cruel I don't need their advice.boys u r most welcome to my pm

Joanah, please allow me to go to her PM.
 
Haya wanaume kazi kwenu, kusoma ni kuelewa.
 
The most foolish in JF i'v Never see yaan unadhan boys tu ndy wapo bright kwenye ushauri me ni boy ila nakuona wew ni kiazi kwa kwel................ Nosense

Mda mwingne Kama mnakosa vya kuongea nyamazeni au kisa dada zenu na mama zenu walikuwa mapunguani unadhan na wengne watakuwa Kama hao...........Wew ni mjinga tu ulie fundishwa English sasa unataka kujikuta umesoooma kumbe kizibo tu.
We ni fala mmoja tu.
Nice comment thank u.
 
English nyepesi kabisa hii hata mi naimudu nisipokomenti kiinglishi basi mi komamanga..[emoji28]

You loose hope for what..??
If there is no reason who's gonna help you..?
Sometimes no need to worry you better focus on what makes you there.. others have a lot of problems but they still going forward!.. don't be the problem of your own life bro..

Nimejitahidi sana dah! I'm not the komamangazzz..[emoji28]
Mkuu huyo dada ako sio me [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom