I looooveeee uuuu

Nimeenda vyakutosha..na ninampango akitokea leo nimpeleke pale miti miwili masaki nikafunge naye mwaka na kuanza mingne

waat!!! miti miwili?
we humuwezi kubwa la maadui
sehem abazoenda unaweza ku afford kulipa bill ww
 
Hahahaaa. Na Mungu ananipenda pia.

Nataka uwe mtu maalum kwangu
Yaani yule ambae tunakuwa nae muda wote hata wa kulala
Umenipata sasa?
Maana nyie hamkawii kujidai hamuelewi...lol!!
 
Nataka uwe mtu maalum kwangu
Yaani yule ambae tunakuwa nae muda wote hata wa kulala
Umenipata sasa?
Maana nyie hamkawii kujidai hamuelewi...lol!!
Heee? Ngachoka.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…