I know am guilty, help me get out of this mess

I don't get the point mtu anaposema yupo na mume wa mtu anampenda na wanapendana! Hii ni weakness ya wanaume au wake walio kwenye ndoa inayopelekea simba kuivamia?
 
Ukimpa mume wa mtu bure si bure utakuwa umrogwaaaa na aliekuroga katangulia kitambo!

MIE NIMPE BURE NA MKEWE AFANYE KAZI GANI? Manake watu wanaoa ili wapewe bureeeee!

Pole yao hao wanaokugeeni bureeeeee watakuwa na genye kweli kweli. Si masikhara!
 
Last edited by a moderator:
Hauko sawa hata km uyo jamaa anakugegeda round 1000 kumbuka mzazi mwenzio alivokufanyia ulijickiaje..duh acha unaitesa familia ya uyo mwehu.
 
nimeishia hapo kwenye 40-50

waendelee wengine.
 

Lara wewe bado Hujakutana na wanaume!trust me,watakumega na hela hupati (mind u atakuwa Mume wa mtu pia)na mwisho wa siku wewe ndo utamtafuta na kumtoa lunch na dinners! Subiri tu,iko siku utanasa tu!ila usisahau kuja hapa kukiri!
 
Lara wewe bado Hujakutana na wanaume!trust me,watakumega na hela hupati (mind u atakuwa Mume wa mtu pia)na mwisho wa siku wewe ndo utamtafuta na kumtoa lunch na dinners! Subiri tu,iko siku utanasa tu!ila usisahau kuja hapa kukiri!

Hahahaaaa! The good thing is pesa ndo inatangulia. Let's get real mkeo anakugea bureee daily huridhiki!!!!

Mi nikikupa bure mkeo atsfsnya Kazi gani? Hivi nyie mnahisi kujiachia na mume wa mtu kazi ndogo eeh!
 

humu kuna watu nawahesimu la sivyo ningeandika jambo la ajabu maana hii mijitu mijinga inakwambia imeoa ila anakupenda cjui nn..anakupotezea mda mwenzio ana future tayari utabaki kuwa jamvi la wageni. angalia future mama maisha hayapo kitandani
 

sema dada..watu waliochoka ndoa wanaonekana vyema tu..huyo anajipigia debe alikimbilia nn kuoa..maana yake anampenda mkewe ss bi dada aendelee kusugua gaga na atazidi kuomba ushauri humu hadi miaka 55 kama amauche huyo mume wa mtu au lah! pole ndugu yangu kitanzi hicho bado hujachelewa kukitoa tafta wako
 
All lousy,cheating, foolish married men do that. Wenye akili kidogo huea wanasema ' I dont wanna talk about it' wanaishia hapo. Ila anaemsimanga mkewe ni mpuuzi tu na siku akidakwa atasema wewe ni kahaba na umemganda afu mkewe atamsamehe akijua ulimloga.

Ngoja kwanza, huyu mzinzi mwenzio bado anakujaga kufanya maombi na mama na kufariji? Manake hakawii 'kumfariji' hata mama. Chezeiya round 5?
 
Jaribu kuachana nae uone kama utaumwa,
Unajiendekeza mwenyewe wkt unajua huna future nae hyo ni mme wa mtu sasa huoni unajinyima nafasi sehemu nyingine kulima shamba ambalo huwezi kuvuna
 
Usiendelee kufanya uasherati nae akaendlea kufanya uzinzi..ameijua weakness yako na ndo mana anaitumia vizur,mind u yule tayar ana mkewe na mwisho wa siku atarudi kwa mkewe tu na utaendelea kuumia kwa ajil ya hili..26yrs mbona bado na kuwa na mtoto tena mmoja sion kama ni tatzo la wew kukosa mume..omba Mungu akupe wako

Hakuna wanaume waongo kama wanaolia,matapeli kabisa..anakudanganya huyo

Mkewe akijua atakufanya kitu mbaya ukawa mfano

Umepewa ushaur wa kutosha,kaz kwako
 
Qur'an 17:32.

Wala msikaribie uzinzi. Hakika huo ni uchafu na njia mbaya.
 
1 Wakorintho 6:9-10
Neno: Bibilia Takatifu (SNT)


[SUP]9 [/SUP]Je, hamjui kwamba wasio na haki hawataurithi Ufalme wa Mungu? Msidanganyike, waasherati hawataurithi Ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wapotoshaji; [SUP]10 [/SUP]wala wezi, wala wenye tamaa mbaya, wala walevi, wala wanaodhihaki, wala wanyang'anyi.
 



Amen!!!
 

Shikamoo babu Asprin, ngakumiss ujue!!!!
 
Last edited by a moderator:

Ameen bidada.... Umemaliza!!!
 

H a ha ha haaaaaa, ile 1million ulotuma nimeshaichukua ila haitosh km hutajali baby tuma 1m nyinginee afu jioni tuonaneeeeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…