Maghayo
JF-Expert Member
- Oct 5, 2014
- 13,734
- 29,124
Wapi iyo??Kwa kweli hata mimi nilipita pale 15th May napanda KLM, nilifika saa tatu usiku ila ile foleni ya kuingilia pale hakuna kabisa nilipita moja kwa moja na kwenda kucheck in, nilijiuliza nikadhani labda ni kwa siku ile tu!