I just noticed that Julius Nyerere International Airport is not as busy as it used to be

Langoi

JF-Expert Member
Mar 26, 2018
206
119
I just noticed in couple of days that Julius Nyerere Internatinal Aiport is not as busy as we used to see in the past. Like today i only saw one International flight. May be someone can also probe.
 
we have our own flight "pangaBoy" no need for what you notecd!

in JPm's voice
 
I just noticed in couple of days that Julius Nyerere Internatinal Aiport is not as busy as we used to see in the past. Like today i only saw one International flight. May be someone can also probe.

For how long were you at the airport??? May be 2 minutes, 30 minutes ! hour, 2 hours, may be six hours etc? And, if that is the case, how do you explain it...that is, what is your opinion?
 
Hata wana diaspora wengi kwa sasa tumegoma kuja likizo, tutaenda Jamaica na Turks and Caicos.

Tunaangalia upepo wa sasa upite kwanza.

Acha zipungue tu.

Maana hamna jinsi tena kama alivyojisemea Pinda.

Mimi nime notice watu wa serikali wanasema uchumi unakua sana, lakini mtaani watu hawana hela.

Katika kipindi kifupi sana watu wanaombaomba hela sana, tena hela za ajabu, mtu anaomba mpaka $2.

In the last few weeks mpaka watu ambao kawaida huwa hawaombi hela wanaomba,na simademu tu (hao ndio wengine kabla hata ya salamu wanapiga mizinga).

Yani kuna barometers nyingi sana zinaonesha halini mbaya.

Nisha wa rescue watu watatu kwa $50 za chapchap. Mtu wako anakuomba $2 unaona hata haya kumtumia aliyoomba.
 
Shikamoo brother Kiranga,
Kumbe na huku kwenye siasa unakujaga!?
 
He said ....couple of days.....
 
Shikamoo brother Kiranga,
Kumbe na huku kwenye siasa unakujaga!?
I'm like all races combined in one man; like the '99 summer jam - Nas "Nas Is Like"

Mimi siangalii jukwaa, nachangia uzi. Hata sijui niko jukwaa gani, kwa sababu naangalia latest threads natazama ninayopenda, nachangia.

Naangalia alerts zangu, tags na quotes kutoka kwa watu, nachangia.

Mtu wa watu. Hata Manzese Uwanja wa Fisi na kwa Mfuga Mbwa ukinikuta usishangae.

Ukinikuta Jukwa la Intelligence na argue time does not exists kwa kum quote Dr Roger Penrose kutoka "The Road Ahead: A Complete Guide To The Laws of The Universe" usishangae.

Pia siku ukinikuta thread ya Diamond, Wema na Zari pia usishangae.

Mpaka Tabata Ubaya Ubaya kwenye nyumba ya kuhesabu buibui isiyo na dari na choo cha passport size nishakaa.

Ingawa mtoto wa Upanga na Oysterbay kwetu friji open tena imejaa Swiss chocolate za kutoka Zurich.
 
I just noticed in couple of days that Julius Nyerere Internatinal Aiport is not as busy as we used to see in the past. Like today i only saw one International flight. May be someone can also probe.
all the blame to sizonje
 
hizi viporo vya kande iliyochacha unabugia na kushindilia ukiwa bongo sasa hivi inakufanya hadi unatushushia hadhi wanadayaspora
 
For how long were you at the airport??? May be 2 minutes, 30 minutes ! hour, 2 hours, may be six hours etc? And, if that is the case, how do you explain it...that is, what is your opinion?
I was there like not less than three hours today but the other like masaa mawili hivi. Ni msafiri wa mara kwa mara ndiyo maana ndugu. Lkn pia nimesema na wengine wanaweza pia kuchunguza sio lazima niwe sawa.
 
Hata wana diaspora wengi kwa sasa tumegoma kuja likizo, tutaenda Jamaica na Turks and Caicos.

Tunaangalia upepo wa sasa upite kwanza.

Acha zipungue tu.

Maana hamna jinsi tena kama alivyojisemea Pinda.

Mimi nime notice watu wa serikali wanasema uchumi unakua sana, lakini mtaani watu hawana hela.

Katika kipindi kifupi sana watu wanaombaomba hela sana, tena hela za ajabu, mtu anaomba mpaka $2.

In the last few weeks mpaka watu ambao kawaida huwa hawaombi hela wanaomba,na simademu tu (hao ndio wengine kabla hata ya salamu wanapiga mizinga).

Yani kuna barometers nyingi sana zinaonesha halini mbaya.

Nisha wa rescue watu watatu kwa $50 za chapchap. Mtu wako anakuomba $2 unaona hata haya kumtumia aliyoomba.
Mi niko mbioni kurudi huko duniani mazima,nikifika huko kurudi bongo mpaka huyu mshamba alieko magogoni atoke.aki overstay na mimi naoverstay.
 
I was there like not less than three hours today but the other like masaa mawili hivi. Ni msafiri wa mara kwa mara ndiyo maana ndugu. Lkn pia nimesema na wengine wanaweza pia kuchunguza sio lazima niwe sawa.
Kwa kweli hata mimi nilipita pale 15th May napanda KLM, nilifika saa tatu usiku ila ile foleni ya kuingilia pale hakuna kabisa nilipita moja kwa moja na kwenda kucheck in, nilijiuliza nikadhani labda ni kwa siku ile tu!
 
sijui kwa nini nabishana na mafreemason mijitu ambayo haimini Mungu yupo yaani ni laana ya kipekee.

Break yangu imeisha narudi mzigoni ni gereji ya mercedes trucks akina actros maamae nimebakiza masaa manne kumaliza kusafisha. The floor is dusty and oily lakini mwanaume navyowanyia hadi kesho asubuhi wakija kazini wanasemaga this boy is good. Sometimes nawatania you have to wear sunglasses bcoz of the floor shining.

Sitaki kabisa kuwa idle na mvivu kama wewe. Freemason ambaye haamini Mungu hayupo. Dhambi kubwa sana. Ungama na utubu utasamehewa hizi issue za kifreemason achana nazo. Halafu ondoa/badilisha hiyo avater picha yako kwenye profile ya evolushen.

FANYA KAZI
Big up kaka!
 
I just noticed in couple of days that Julius Nyerere Internatinal Aiport is not as busy as we used to see in the past. Like today i only saw one International flight. May be someone can also probe.
Have you spent the whole day at JNIA ?
Emirates, Qatar, SAA, RwandaAir , Air Zimbabwe, etc zote hola leo?
 
Back
Top Bottom