I just noticed that Julius Nyerere International Airport is not as busy as it used to be

For how long were you at the airport??? May be 2 minutes, 30 minutes ! hour, 2 hours, may be six hours etc? And, if that is the case, how do you explain it...that is, what is your opinion?
Mkuu acha kujipaka mafuta kwa mgongo wa chupa! Ni kweli pale airport kumepoa sana yaan wanatua kunguru na njiwa tuu bila kusahau wanabadilishana shift na bundi usiku.
 
Hahahaha Kanzu ndio madira au? yani we ni chizii
Hata wanawake hawana uhuru wa kuvaa wanavyotaka,wakivaa wanavyotaka wanambiwa wanavyunja maadili ya Kitanzania.mimi nakuwa nashangaa nikisikia kauli ya maadili ya kitanzania,sijui maadili gani,wakati Tanzania ina Zaidi ya makabila 250....

Katika utafiti wangu nimeona kuvaa Madira ndio maadili ya kitanzania kwani wanawake na wanaume wanavaa Madira...Serikal iko "total confused",serikali ina kila viashiria kuwa ni ya Ki-dictator...,inabana kila sehemu mpaka mavavi ya raia wake
 
Hii nayo kali! Hilo la bar kufunguliwa saa kumi ni ukweli?
Kweli kaka,watanzania wamebanwa kila sehemu,wanawake hawaruhusiwi hata kucheza ngomazao za kiasili wanambiwa wanavunja maadili ya kitanzania…,Ngoma za wanawake kukata viuno ambazo zimechezwa na bibi na mababu zetu hivi sasa ni uvunjaji wa maadili ya Mtanzania..,:D
 
For how long were you at the airport??? May be 2 minutes, 30 minutes ! hour, 2 hours, may be six hours etc? And, if that is the case, how do you explain it...that is, what is your opinion?
Mbona povu?Check flight radar upate jibu www.flightradar24.com

flradar.PNG
 
We have a new alternative of "ungo",in order to put some greese on tightened irons...hope you have understood
 
huu ni ubaguzi kwanini usingeandika kwa kiswahili ili kusudi hata mwenyekiti wa sisiemu akipitia huu uzi aelewe?
Ukiacha hivyo, kaandika uongo tupu tena mwingi wa kutosha. Kuna Emirate, Etihad, Ethiopia Airline, Kenya Airways, KLM, Turkish, South Africa Airways nk. Hizi ni kila siku na wengi e wana ndege zaidi ya moja kama ET na KQ.
 
huu ni ubaguzi kwanini usingeandika kwa kiswahili ili kusudi hata mwenyekiti wa sisiemu akipitia huu uzi aelewe?
Kamanda, mwenyekiti wa ccm ana PhD ya kusomea kabisa, lakini mfalme wa chama chetu ni formu fooo failure; afadhali ungemsema huyo.
 
Back
Top Bottom