I just got a new baby boy!!!!!

Wakuu M/mungu ashukuriwe,leo nimepata mtoto wa kiume,but bado wife bado hajaruhusiwa kutoka hospital AMANA.
Thanks god.
sifa na shukrani tumrudishie alie juu , hongera sana. Kila lakheri kwa mtoto wenu



0
 
Hongera sana pamoja na mama mtoto. Ashukuriwe Mungu mpaji wa kila kitu.
Karibu sana mtoto.
 
Hongera sana Speaker. Hakikisha kijana anakuwa President anza kumfundisha siasa mapema.

Mh!sasa akishakua prezidar kisha akawa na katabia kama ka VASCO DA GAMA jee?mkuu.......huyu kamanda wangu ngoja nifikilie likitengo lakumpeleka.
 
May our ALMIGHTY GOD, protect him and give him 150 years ahead of happines and success! spika am happy for u!
 
Hongera sana
spika Mungu azidi kukujalia neema zake katika malezi na makuzi ya mtoto.
Fahamu kuwa wewe na mzazi mwenzio ndio mtakao shape maisha yake kwa kiasi kikubwa. Kwahiyo ufanye vyema.
Mapenzi yangu to the little angel....
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom