I have to do...ila isiwe Arusha

pls lolyz nazidiwa na mihemko kufikia wakato flani usiku sipati usingizi
yaan hata nikishuka njiani popote iwe tanga au singida nani anayenijua????????
Huo mwili haukupewa kwaajili ya ngono maria kama unampenda utamtunzia haijalishi yy anafanya aula ,mwisho utajafanya na mashetani ,kemea kwa jina tulilopewa (Yesu) me i have play my role as a mom to u also as ndg in christ...
 
hapo red: yes offcourse
she is my blood sister from another mother so tunawaza vya kufanana.Marytina anaweza kuvaa viatu vyangu popote pale na atafanya kama Maria
ohh yeah,i can feel the same taste!..nawakubali wadau mpo wazi sana,na hayo ndio maisha halisi yanayotuzunguka katika jamii zetu,ingawa wadau wengine wanaweza kukuona wa ajabu lakini na hakika ni behind the keyboard ila kiuhalisia wajua kabisa ndivyo jamii ilivyo...go ahead with your plan if it is only the best and safe option you have.
 
maria, i read btn lines swthrt! nilimaanisha hata ukija kuolewa hakuna guarantee kua utapata soul food kila siku.kuna vitu kama shule,makongamano na magonjwa yatakayopelekea kukaa mbali wakati mwinge. bible inasema 'msinyimane,ila muwe na kiasi msije mkajaribiwa na yule mwovu'. hebu shughulikia kiu yako, mueleze na mwenzio kua unazidiwa mtafute suluhisho. ila hata ukienda nje ya mji, skeletons kwenye closet hawana adabu,wanatoka kabatin siku una wageni! waulize mabingwa wa infii hapa wakuambie!
hukunisoma
niliposema mtu awe wa mbali na sio arusha nililenga kuprotect diginity ya mchumba wangu
kwani mtaani kwetu hamna wakaka na mbona sijawapendekeza kama naweza lala na hboy????????
 
Kama unashindwa vumilia kwa muda mdogo tu huu sasa utaweza miaka kadhaa ya ndoa?
 
Kwanza umesema huyo ni boyfriend tu sio mume hivyo kwa hilo hustahili kujificha kwani hamjaoana.

Pili kwa kutoweza kuvumilia nakushauri usiolewe tena kwani ni lazima kuolewa ? si uwe una do tu upate starehe unayoipenda?

Tatu sijui umri wako kama bado kijana endelea tu ku do kwani itafika mahali utaacha
 
Maria dada angu,kaa utulie na uondoe mawazo hayo ulonayo,nakushauri zaidi jishughulishe na maombi zaidi kwani hvyo unavyotaka kufanya sio vizuri kabisa,ni ushauri wangu mie kaka ako wa Jf.
 
Kuna mdada anafanya kazi barrick kahama yaan huja Arusha kudoo ila aliapa hatadoo na mtu wa kahama au mwanza

Ukiona hivyo Maria ujue huyo dada anaridhishwa kimapenzi na huyo anaemfuata Arusha,siri ya mapenzi ni kuhakikisha kila mmoja wenu anaridhika vya kutosha.
 
Unakuta jamaa yako anaifuatilia hii thread! Sijui atakuwa anajisikiaje!
 
maria ee, umejishushia mtu wangu. Huna tofauti na vicheche tunaowaona wakijiuza mitaani! Nia ya kutafuta stranger ni kuepusha uwezekano wa ishu kumfikia mpenzi wako ila KOSA LA KUMSALITI LIKO PALEPALE! Yeye pia akifanya hivyo utapenda?
 
maria ee, umejishushia mtu wangu. Huna tofauti na vicheche tunaowaona wakijiuza mitaani! Nia ya kutafuta stranger ni kuepusha uwezekano wa ishu kumfikia mpenzi wako ila KOSA LA KUMSALITI LIKO PALEPALE! Yeye pia akifanya hivyo utapenda?

Napingana na wewe!
She is being honest and truthful unlike many of us who pretent to be saints while we r devels!
Kwa kutafuta stranger maana yake hahitaji commitment; anahitaji just sex!

Ila Maria; have u thought of vibrator/dildos? Or some people nowdays wanado online au kwa simu. Jaribu hii option ya pili na mchumba wako popote alipo ili umpinguzie na yeye mihemko!
 
Tupa kule hiyo baby walker (starlet)
njoo uchukue Nissan Murrano.....lets go Nissan babe!
 
i thought i was the only
with open mind about sex..
it turn out i am old fashioned also lol

Unakuwa open minded when it comes to men in Maria's situation; but when it comes to women most of u r very conservative! I love Maria's frankliness; though l don't think she is serious!
 
Nyie vijana nyie!
Shukuruni Mungu tumezeeka sie!!
Say whaaaat!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom