Baba jirani kanipa gari mchumba wangu akaamua kuniacha

Marytina

JF-Expert Member
Jan 20, 2011
9,292
7,148
mama mchaga, baba mngoni nimezaliwa na kukulia the geneva of Africa 'ARUSHA'
nina mchumba Mmasai, ADMINISTRATOR wa Tour operators flani.

ILIKUWA HIVI!!!
Wanandoa:angala ulivyochafuka viatu kwa tope, ingina tukupe lifti,NIKAINGIA.
Mume mtu:huna kigari au unataka ya kifahari?
Tina: hela sina hata starlet natamani
Mkewe:Tukuuzie ile Corrola ipo imepaki home mil 4 :Tina:Sina hata mil3.
Mume mtu tupe mil 2 tuende Nairobi kupumzika.Tina:hata hiyo sina.
Mkewe:Sema hutaki gari (mwaka jana tuliinunua mil 8 showroom)tafuta fundi wako akae nayo mwezi mzima incase ila hatukupi bure lazima mil 2 uje kutoa tunajua unazo kabisaaa

Nilimweleza mama/dad na baba/kaka flani wakaniambia Mchumba hatanielewa kivipi nipewe (only 2 mil kwa gari ya 8mil tena lipa mwakani) gari na mbaba jirani na tena naweza achika.Mil2 NINAYO siwezi mdanganya nimenunua kwa 6/7 manake anajua flow yangu ya pesa.Niliota kuachika navutia muda uamuzi wa kuchukua

Wana JF will this car cost my love?kwa nini wanaume wapo hivyo?manake hawa wananikikutana nao huniuliza vipi?hawataki niifanyie udalali kwa kuiuza nikiipata.
 
Wanandoa:angala ulivyochafuka viatu kwa tope, ingia tukupe lifti,NIKAINGIA.
Mume mtu:huna kigari au unataka ya kifahari?
Tina: hela sina hata starlet natamani
Mkewe:Tukuuzie ile Corrola ipo imepaki home mil 4 :Tina:Sina hata mil3.
Mume mtu tupe mil 2 tuende Nairobi kupumzika.Tina:hata hiyo sina.
Mkewe:Sema hutaki gari (mwaka jana tuliinunua mil 8 showroom)tafuta fundi wako akae nayo mwezi mzima incase ila hatukupi bure lazima mil 2 uje kutoa tunajua unazo kabisaaa

Nilimweleza mama/dad na baba/kaka flani wakaniambia Mchumba hatanielewa kivipi nipewe (only 2 mil kwa gari ya 8mil tena lipa mwakani) gari na mbaba jirani na tena naweza achika.Mil2 NINAYO siwezi mdanganya nimenunua kwa 6/7 manake anajua flow yangu ya pesa.Niliota kuachika navutia muda uamuzi wa kuchukua

Wana JF will this car cost my love?kwa nini wanaume wapo hivyo?manake hawa wanandoa nikikutana nao huniuliza vipi?hawataki niifanyie
 
Why are you thinking on behalf of your fiancee? talk to him now,involve him throughout this process....am sure he will understand!!!:hand:
 
Nilimweleza mama/dad na baba/kaka flani wakaniambia Mchumba hatanielewa kivipi nipewe (only 2 mil kwa gari ya 8mil tena lipa mwakani) gari na mbaba jirani na tena naweza achika.Mil2 NINAYO siwezi mdanganya nimenunua kwa 6/7 manake anajua flow yangu ya pesa.Niliota kuachika navutia muda uamuzi wa kuchukua

Hii haifanani na title yako. Umeota kuachika au umeachika???
 
Why are you thinking on behalf of your fiancee? talk to him now,involve him throughout this process....am sure he will understand!!!:hand:
sio kwamba nimeamua kumsemea ila hao niliowaelezea hii issue wamenipa mtizamo wa ajabu sana,nikashtushwa na hii mitizamo.
 
Mama mchaga,baba mngoni..!!?? Shabash..Hapo ndio napowapendea watani zangu,waaminifu kwa kila kitu lakini si kwa mtoto wa kike,na ndio maana tukawapa nickname ya wagoni..
 
marytina bana, hiyo intro yako kila thread lazima iwepo??

Kama unaogopa kununua mwenyewe ambatana na kaka ako au mpenzi wako mkanunue gari
 
mi nadhani ungeifupisha sredi, maana umeichanganya mno mpaka inawia vigumu watu kuelewa. Ungesema
JAMAA NA MKE WAKE WALINIPA LIFTI YA GARI, NIKIWA NDANI YA GARI WAKANIAMBIA WANAWEZA KUNIUZIA GARI ILI NIONDOKANE NA ADHA YA KUSAFIRI KWA TABU. THAMAN YA GARI NI MIL 8 LAKIN WAO WANATAKA KUNIUZIA MIL 2. WASIWASI WANGU NI KWAMBA MCHUMBA WANGU ANAWEZA ASINIELEWE PENGINE AKADHANI NIMEHONGWA KUUZIWA KITU CHA GHARAMA KWA BEI CHEE, NAHISI ANAWEZA KUNIACHA. JE NIFANYEJE? NINUNUE AU?
 
hapo cpu umenena alipaswa iweka hivyo
 
nashangaa ume base kwa mbaba zaidi wakati alikuwa na mkewe au keshaBAO NDANI NA UMECHANGANYIKIWA NA UNATOKA NJE YA UCHUMBA SASA TEHE twehe
 
Mama alivyoshauri Michelle, mshirikishe mchumba wako tangu mwanzo. Hata hivyo, "it is too good to be true". Isijekuwa gari lenyewe bomu. Kushirikisha mchumba wako kunaweza kupunguza utata na utapeli. Ikiwezekana hata ni bora wewe na mume wako kumwona Mama mwenye gari au akiwa na mumewe, na wala sio kumwona mume peke yake.
 
mama mchaga, baba mngoni nimezaliwa na kukulia the geneva of Africa 'ARUSHA'
nina mchumba Mmasai, ADMINISTRATOR wa Tour operators flani.

ILIKUWA HIVI!!!
Wanandoa:angala ulivyochafuka viatu kwa tope, ingina tukupe lifti,NIKAINGIA.
Mume mtu:huna kigari au unataka ya kifahari?
Tina: hela sina hata starlet natamani
Mkewe:Tukuuzie ile Corrola ipo imepaki home mil 4 :Tina:Sina hata mil3.
Mume mtu tupe mil 2 tuende Nairobi kupumzika.Tina:hata hiyo sina.
Mkewe:Sema hutaki gari (mwaka jana tuliinunua mil 8 showroom)tafuta fundi wako akae nayo mwezi mzima incase ila hatukupi bure lazima mil 2 uje kutoa tunajua unazo kabisaaa

Nilimweleza mama/dad na baba/kaka flani wakaniambia Mchumba hatanielewa kivipi nipewe (only 2 mil kwa gari ya 8mil tena lipa mwakani) gari na mbaba jirani na tena naweza achika.Mil2 NINAYO siwezi mdanganya nimenunua kwa 6/7 manake anajua flow yangu ya pesa.Niliota kuachika navutia muda uamuzi wa kuchukua

Wana JF will this car cost my love?kwa nini wanaume wapo hivyo?manake hawa wananikikutana nao huniuliza vipi?hawataki niifanyie udalali kwa kuiuza nikiipata.

Ungemhusisha kwenye kikao cha "Negotiation" angekuelewa. Hata hivyo mali imetoka kwa ridhaa ya wanandoa ana hofu gani? Ila sisi wanaume tunamafungufu yetu, hatupendi kuwa chini ya mwanamke kwa namna yeyote ile hasa kwenye issue ya mali, huyo mchumba ana gari?
 
Kaa tayari ujiandae kutongozwa na huyo baba, naona amekuchunguza kwa muda mrefu na akawa akikupenda moyoni mwake lakini alikosa chance ya kukuanzia sasa siku hiyo ukaingia ndani ya 18 yake.
Ukichukua hiyo gari jiandae kulipa mapenzi maana inaonekana pesa kwake siyo tatizo!! Take it, kwani utampanulia mapaja amalize shida zake na kisha gari linabaki kuwa lako milele. cha msingi usisahau kuandikiashiana kabla ya ............
 
nashangaa ume base kwa mbaba zaidi wakati alikuwa na mkewe au keshaBAO NDANI NA UMECHANGANYIKIWA NA UNATOKA NJE YA UCHUMBA SASA TEHE twehe
ya nini kutukanana?mbaba ndiye msemaji wa mwisho kwa familia kivipi unanishangaa?
 
Back
Top Bottom