Inaonyesha walikuwa wanapigana mama akitaka kutambulishwa kuwa ndie mkewe ili vinyamkera vitulie. Haya KAKA Mkubwa na wewe copy and paste kama utaweza.
Mimi bado najiuliza hivi kabla hawajaja kwenye media mjadala ulikuwaje?
"utaenda kusema au hapana, usipoenda kusema utaona nitakachokufanya, naona umenisahau, subiri, wewe baba nanihii unanisikia lakini? Urais ni wako na hao wengine, ila mie najua mimi ni mkeo basi, sasa tunaenda au hatuendi? dereva, derevaaaaa, uko wapi?"
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.