I Have Accomplished 'NOTHING'

I Have Accomplished 'NOTHING'

Ipo siku nitaleta ushuhuda humu. And you will be the first to like and Appreciate My Effort to Succeed. Am close to what i seek.
Kuna siku nilisema unafrustration na tutaizungumzia siku nyingine kuona huu uzi nimeona tuongelee leo. Frustration ni hali impatayo mtu pale anaposhindwa kufikia malengo yake. Hali huweza kuwa kama ifuatavyo.

Apathy: hapa mtu aliyeshindwa kufikia malengo yake hukata tama na kuamua itakavyo kuwa na iwe. Mtu huyu anakuwa amekubaliana na hali ya kushindwa. Unakuta mtu anaanza kuwa mlevi.

Rationalization: hii ni kama ile story ya sizitaki mbichi hizi. Watu wa dizaini hii lazima watafute sababu ya kufeli kwao. Wanaweza kujilaumu wenyewe ila mara nyingi husingizia wengine au mfumo. Mfano unaweza kuwaza "maprofesa wenyewe hali ngumu ndiyo maana anko hawezi hata kutusaidia". Rationalization inauzuri wake kwani humuacha mtu na amani ya akili.

Compensation: hapa ni mtu akishindwa jambo Fulani. Mfano ukiona shule inakushinda unafanya biashara , biashara ikikushinda unalima nk.

Aggression: hapa mtu huwa na hasira kali huelekezea wengine au hata kwake mwenyewe.

Nimesahau inaitwaje: hapa mtu huamua kurudia kufanya ishu alizokuwa akifanikiwa. Mfano motto akizaliwa mwanaume anaanza kuchepuka kupata atensheni iliyohamia kwa mototo.
Nilitaka ujue psychology of failure , ujue upo wapi na uchukue hatua zifaazo.
 
Kuna siku nilisema unafrustration na tutaizungumzia siku nyingine kuona huu uzi nimeona tuongelee leo. Frustration ni hali impatayo mtu pale anaposhindwa kufikia malengo yake. Hali huweza kuwa kama ifuatavyo.

Apathy: hapa mtu aliyeshindwa kufikia malengo yake hukata tama na kuamua itakavyo kuwa na iwe. Mtu huyu anakuwa amekubaliana na hali ya kushindwa. Unakuta mtu anaanza kuwa mlevi.

Rationalization: hii ni kama ile story ya sizitaki mbichi hizi. Watu wa dizaini hii lazima watafute sababu ya kufeli kwao. Wanaweza kujilaumu wenyewe ila mara nyingi husingizia wengine au mfumo. Mfano unaweza kuwaza “maprofesa wenyewe hali ngumu ndiyo maana anko hawezi hata kutusaidia”. Rationalization inauzuri wake kwani humuacha mtu na amani ya akili.

Asante,

How do i handle such a situation?
 
First step...TOKA HOME...
Everything else will settle. Ukiondoka woga wa maisha utakwisha. Utakuwa na master plan ya maisha. Ukiendelea kukaa na wazazi utayaogopa maisha for the rest of your life.
 
nobody knows what you wanna be

your destiny is in your own hand

never give up
 
Sijazaliwa miaka mingi ilopita, Lakin jana jioni nilipokuwa nimekaa nje ya nyumba yetu, mida ya saa Tano, katika kutafakar kwangu juu ya Maisha yangu, Nimegundua kuwa Sijakamilisha chochote, yaani, i have Accomplished Nothing.

Nikiitizama Elimu yangu, Nimemaliza form six na division three, Nilisoma HGE na History nilipata C, Geography- F, Economics- C. Nilichaguliwa Ualimu Chuo kipya cha Tabora, lakin kutokana na sababu za kiuchumi, sikuweza kwenda, Badala yake nikaenda kuwa Volunteer katika taasisi moja kubwa ya Afya, inayomilikiwa na wahindi.

I wanted to be the best in everything i do, but i always end up the worst, if not the Least. I once said i wanted to be a Professor, kwa sababu ninae Mjomba wangu, ambae ni Professor pale chuo cha Mlimani, na anaishi maisha mazuri mpaka ametusahau wapwa wake.

Niliwah kufanya RAP MUSIC, miaka ya Nyuma, lakin sikutoka. Nikaingia kwenye Maigizo, lakin pia sikitoka.

Nikitizama navyoishi, najiona kama Mfa Maji, natapa tapa tuu, Naweka Muongozo Usiku, Asubuh napangua napanga mengine.

Kiufupi, Naona kama nasindikiza watu, Nilikuwa wa kwanza kufungua Account, in comparison to my friends, lakin leo hii, nina salio dogo kuliko hata wale niliotangulia kufungua account.

Nilikuwa wa kwanza kupata kazi, kabla ya Marafiki zangu, lakin sasa wao wana maendeleo Makubwa kuliko mm.

Mpaka sasa nimeshindwa kuishi maisha ya kujitegemea, japo nina kazi, Naogopa nikitoka nyumbani, naweza shindwa mudu gharama za kupanga. Nina Ujinga mwingi kichwani, najiuliza ni vipi nitautua huu Ujinga?

I dream Success, i pray i become successful, but ukicheki navyo ishi, I Live Failure' Sina nachojivunia ktk Maisha haya, Maana mpaka sasa, sijaweza ishi, hata theluthi ya Maisha ninayoyataka.

What's wrong with me? Nakosea wapi? What am i Lacking? What needs to be done in me, to Transform my Life from Failure to Success?

If i was your brother, Ungenishauri nifanye nn?

mi nakushauri ondoka nyumbani, hapo ndipo panapokulemaza umejuaje kuwa utashindwa gharama kabla ya hujaondoka nyumbani?
 
kinachokucost unawaza glass yako ipo half empty badala ya kufikiria ipo half full.......always usiruhusu negative thoughts zikucontrol...simamia kwe mazuri uliyokua nayo na jitahidi kuyaendeleza..ps ukitaka maendeleo kaa na kujifunza kwa walioendelea....badala ya kumponda huyo mjomba wako kaa naye karibu akuoneshe njia na kama anaona una nia atakuwa hapo..isije kuwa kila ukimwona we ni vibom vya ela tu hata mimi nakukimbia

umeongea kweli tupu..hili la kumlaumu mjomba ake nalo linamtafuna!!
 
Kuna siku nilisema unafrustration na tutaizungumzia siku nyingine kuona huu uzi nimeona tuongelee leo. Frustration ni hali impatayo mtu pale anaposhindwa kufikia malengo yake. Hali huweza kuwa kama ifuatavyo.

Apathy: hapa mtu aliyeshindwa kufikia malengo yake hukata tama na kuamua itakavyo kuwa na iwe. Mtu huyu anakuwa amekubaliana na hali ya kushindwa. Unakuta mtu anaanza kuwa mlevi.

Rationalization: hii ni kama ile story ya sizitaki mbichi hizi. Watu wa dizaini hii lazima watafute sababu ya kufeli kwao. Wanaweza kujilaumu wenyewe ila mara nyingi husingizia wengine au mfumo. Mfano unaweza kuwaza “maprofesa wenyewe hali ngumu ndiyo maana anko hawezi hata kutusaidia”. Rationalization inauzuri wake kwani humuacha mtu na amani ya akili.

Compensation: hapa ni mtu akishindwa jambo Fulani. Mfano ukiona shule inakushinda unafanya biashara , biashara ikikushinda unalima nk.

Aggression: hapa mtu huwa na hasira kali huelekezea wengine au hata kwake mwenyewe.

Nimesahau inaitwaje: hapa mtu huamua kurudia kufanya ishu alizokuwa akifanikiwa. Mfano motto akizaliwa mwanaume anaanza kuchepuka kupata atensheni iliyohamia kwa mototo.
Nilitaka ujue psychology of failure , ujue upo wapi na uchukue hatua zifaazo.

hiyo inaitwa Recession .
 
Kazi kwako!
 
Attachments

  • 1413551450111.jpg
    1413551450111.jpg
    32.8 KB · Views: 91
Wadau, i believe mpo Poa.

Nina Mpenzi nimekuwa nae kwa takriban Miaka Minne sasa, Nilianza kumtongoza tukiwa Form Five, yy akiwa anasoma Shaaban Robert, Mimi nasoma Jtegemee.

Akaja nikubali tukiwa chuo Mwaka wa kwanza, mambo yalikuwa poa, nilimpenda, Mpaka sasa nampenda, lakini shida Ilianza nilipoanza kuomba Papuchi, Mrembo alikataa kata kata, na kunakipindi ktk ugomvi akanitamkia kama nimeshindwa kumuelewa nitafute mwanamke mwingine, kwamba yeye hataki tufanye mapenzi mpaka nimuoe.

Mwaka ukaisha, kidume navumilia, mwaka wa pili ukaisha na watatu, Napiga nyeto huku nina Mrembo Mzuuri, hadi wenzangu wananionea wivu. Kamaliza chuo, akapata kazi, lakini Uzi ule ule, sasa ni myaka minne, sijacheza nae game hata Moja.

Nimetumia Lugha zote, nimeshafanya kila kitu lakini wapi, Uwezo wangu kifedha sio mzuri hata leo ningemuoa, lakin mamaa hanielewi, nafanya Paper za board ya Procurement, Mshahara wote unaishia huko, achilia Kodi, nauli na chakula.

Mtoto hataki kutoa Papuchi, jaman what should i do? Nimechoka kupiga nyeto, Uume umeingia ndani, nina hasira, sina concentration nzuri ofisini, Shuleni hata home. Yaani am confused, nawaza kumuoa but sitaki reason iwe mapenzi, maana ndio sio Mapenzi tuu.

Namombeni mnishauri, miaka minne, naitwa Majina yote mazuri, Mume wangu, My Love, baba kayai... Lakini Papuchi sipewi, Nimepiga nyeto mpaka uume ukiuona mkono wangu wa kulia unasimama.

Am tired jaman of ths Life. Naombeni mnishauri ndugu yenu, kijiua sijiui ng'ooo.

katika thread hii inaonyesha wewe ni msomi wa chuo na ni mhitimu wa chuo. Napata mashaka na ulichonijibu kwamba ualimu hukwenda kwasababu ya kufeli form six na hapohapo kwenye thread hii inaonyesha umehitimu chuo kikuu. Embu niambie kuna uhusiano gani kati ya ulichonijibu juzi na maelezo ambayo yapo kwenye thread hii? Naomba ufafanuzi kuhusu hii ni thread yako ya tarehe 3/7/2014 NOEL 2014
 
Wadau, i believe mpo Poa.

Nina Mpenzi nimekuwa nae kwa takriban Miaka Minne sasa, Nilianza kumtongoza tukiwa Form Five, yy akiwa anasoma Shaaban Robert, Mimi nasoma Jtegemee.

Akaja nikubali tukiwa chuo Mwaka wa kwanza, mambo yalikuwa poa, nilimpenda, Mpaka sasa nampenda, lakini shida Ilianza nilipoanza kuomba Papuchi, Mrembo alikataa kata kata, na kunakipindi ktk ugomvi akanitamkia kama nimeshindwa kumuelewa nitafute mwanamke mwingine, kwamba yeye hataki tufanye mapenzi mpaka nimuoe.

Mwaka ukaisha, kidume navumilia, mwaka wa pili ukaisha na watatu, Napiga nyeto huku nina Mrembo Mzuuri, hadi wenzangu wananionea wivu. Kamaliza chuo, akapata kazi, lakini Uzi ule ule, sasa ni myaka minne, sijacheza nae game hata Moja.

Nimetumia Lugha zote, nimeshafanya kila kitu lakini wapi, Uwezo wangu kifedha sio mzuri hata leo ningemuoa, lakin mamaa hanielewi, nafanya Paper za board ya Procurement, Mshahara wote unaishia huko, achilia Kodi, nauli na chakula.

Mtoto hataki kutoa Papuchi, jaman what should i do? Nimechoka kupiga nyeto, Uume umeingia ndani, nina hasira, sina concentration nzuri ofisini, Shuleni hata home. Yaani am confused, nawaza kumuoa but sitaki reason iwe mapenzi, maana ndio sio Mapenzi tuu.

Namombeni mnishauri, miaka minne, naitwa Majina yote mazuri, Mume wangu, My Love, baba kayai... Lakini Papuchi sipewi, Nimepiga nyeto mpaka uume ukiuona mkono wangu wa kulia unasimama.

Am tired jaman of ths Life. Naombeni mnishauri ndugu yenu, kijiua sijiui ng'ooo.

Hii ni tread yako ya tarehe 3/7/2014 ambapo inaonyesha wewe uliwahi kusoma chuo na ni mhitimu wa chuo fulani.
Katika majibu yako uliyonipa juzi ni kwamba hukwenda chuo kusomea ualimu kwasababu ulifeli form six. Lakini hapa kwenye hii thread inaonyesha wewe ni mhitimu wa chuo sasa inakuaje hapo embu tupe ufafanuzi NOEL 2014.
 
naomba majibu ya hapo mkuu.
 
naomba majibu ya hapo mkuu.

Unajaribu ku Prove nn kijana? I see you busy digging my Past staffz, unataka kuijua historia yangu? Nitakupa kwa Ufupi.

Form six nimehitimu 2010, kisha nikaanza mishe za kutafuta kazi, nikapata volunteering mahala flan, wakat huo huyo mpenz wangu hajanikubali.

Kaja nikubali akiwa ifm mwaka wa kwanza, nami nikaanza hapo hapo ifm kusoma coz ya psptb review classes, Foundation stage One. Mchumba akaleta za kuleta kama thrrat inavyojieleza, kama utapenda ushahidi wa vyeti nitauweka pia.

Umeleta Uswahili, hizo threats nilizozianzisha japo zote zina reflect maisha yangu ktk situation tofauti kwa maana Mapenzi, na Maisha yangu pia, lakin kubwa zaidi ni kuomba ushauri kwa faida yangu na ya yeyote alie au anaepitia magumu nilopitia. Hivi jina unalotumia ndio la kwenye chet chako cha kuzaliwa? Mbona ww umedanganya jina?

Nimepata marafiki humu, Mr. Daffa akiwemo, yupo mwingine anaitwa Roy, huyu yy ananifundisha music, pia yupo Mchungaji alienisaidia japo yuko Moshi, hao wote na wengine wengi nimewapata humu.

Wakati ww ukiwa busy kujaribu kuaminisha watu kuwa mm Muongo, Others are busy helping Me. Acha Ujinga, kama huna cha kufanya lala. Hakuna nilipo danganya, na niligawanya matatizo yangu kulingana na mahala, na kila mahala niliomba Ushauri kulingana na Tittle kwa maana ya MMU na kule kwa Elimu, Plus habar na hoja mchanganyiko.

Karibu, kama utahitaji Further Clarigicationz, n by the way Jf wote wangekuwa na akili kama zako, mpaka sasa bado ningekuwa Frustrated, but Thank God, am doing abit Fine.

Asante.
 
Una maanisha nn, unaposema swot? Sinogeshi, i mean what i write.

Mkuu unasoma mitihani ya PSPTB ila hujui maana ya SWOT hii haingii akilini mwangu kabisa. Post zako zitakua na kitu tu siziamini hata kidogo mkuu. Unajua kuna vitu ambavyo vinajieleza vyenyewe ambavyo umeviweka humu wewe mwenyewe vinavoleta utata kidogo.
 
Back
Top Bottom