I Have Accomplished 'NOTHING'

I Have Accomplished 'NOTHING'

Ni kweli inauma,lakini ukichelewa muda basi utakuacha na huwezi kuukamata. Ni wakati wako wa kumrudia mungu sana, yéyé pekee anao uwezo wa kukurejeshea miaka uliyopoteza,Uwe makini kujifunza kwake na kujua jinsi ya kufanya mambo na mafanikio yote utarudishiwa ,itakuwa sawa na kukurudishia miaka uliopoteza. Yoeli 2:25 Nami nitawarudishieni miaka ilioliwa na nzige,na madumadu,na tunutu. Amini hili ninalokwambia mungu hurejesha miaka. Anza kumuomba mungu akurudishie miaka yako iliopotea


How will i accomplish this? Should i Lock my self in my room n pray? Niliwah pata kumuona mchungaji flan, lakin naona nakaribishwa tuu kwenye makanisa yao, huko nakuwa treated like otherz, yaani nachokitafuta nikifika huko sikipati. Naanza vipi kumtafuta Mungu wangu?

Naomba Muongozo.
 
Una uwezo wa kujitambua na kulog in JF.

YOU ARE SUCCESSFUL ALREADY. WORK ON YOUR WEAKNESSES.

, He who knows he knows not'' is clever

, He who knows not he knows not'' is a fool a.k.a lusungo

My weaknesses are worse,

Hasira za haraka, Pupa, Kujistukia, Poor financial Control, Poor Planner, sina Persistence, Ukiniuliza nataka kuwa nani, au kufanya nn? Nitakuambia, I want to be successful, Sina starting Point, Nashindwa kuplan, nadhan nahitaj mazoez ili kujenga uwezo mzuri wa ku plan, Kila siku am on a treadmill, every day again and again returning on the point of departure, kila siku mimi ni wa kuanza Moja, lini nitafika hatua ya Pili, tatu na kuendelea? Kuna kitu sina, nakitafuta ili niishi maisha niyapendayo.
 
Last edited by a moderator:
Sijazaliwa miaka mingi ilopita, Lakin jana jioni nilipokuwa nimekaa nje ya nyumba yetu, mida ya saa Tano, katika kutafakar kwangu juu ya Maisha yangu, Nimegundua kuwa Sijakamilisha chochote, yaani, i have Accomplished Nothing.

Nikiitizama Elimu yangu, Nimemaliza form six na division three, Nilisoma HGE na History nilipata C, Geography- F, Economics- C. Nilichaguliwa Ualimu Chuo kipya cha Tabora, lakin kutokana na sababu za kiuchumi, sikuweza kwenda, Badala yake nikaenda kuwa Volunteer katika taasisi moja kubwa ya Afya, inayomilikiwa na wahindi.

I wanted to be the best in everything i do, but i always end up the worst, if not the Least. I once said i wanted to be a Professor, kwa sababu ninae Mjomba wangu, ambae ni Professor pale chuo cha Mlimani, na anaishi maisha mazuri mpaka ametusahau wapwa wake.

Niliwah kufanya RAP MUSIC, miaka ya Nyuma, lakin sikutoka. Nikaingia kwenye Maigizo, lakin pia sikitoka.

Nikitizama navyoishi, najiona kama Mfa Maji, natapa tapa tuu, Naweka Muongozo Usiku, Asubuh napangua napanga mengine.

Kiufupi, Naona kama nasindikiza watu, Nilikuwa wa kwanza kufungua Account, in comparison to my friends, lakin leo hii, nina salio dogo kuliko hata wale niliotangulia kufungua account.

Nilikuwa wa kwanza kupata kazi, kabla ya Marafiki zangu, lakin sasa wao wana maendeleo Makubwa kuliko mm.

Mpaka sasa nimeshindwa kuishi maisha ya kujitegemea, japo nina kazi, Naogopa nikitoka nyumbani, naweza shindwa mudu gharama za kupanga. Nina Ujinga mwingi kichwani, najiuliza ni vipi nitautua huu Ujinga?


I dream Success, i pray i become successful, but ukicheki navyo ishi, I Live Failure' Sina nachojivunia ktk Maisha haya, Maana mpaka sasa, sijaweza ishi, hata theluthi ya Maisha ninayoyataka.

What's wrong with me? Nakosea wapi? What am i Lacking? What needs to be done in me, to Transform my Life from Failure to Success?

If i was your brother, Ungenishauri nifanye nn?[/QUOTE

Nimekua nikifuatilia sana threads zako mbona naona kama unajikanganya ivi ile threads ya mapenzi mapenzi jamani uliandika ya kwamba ulikua unafanya mitihani ya bodi ya procurement na umesomea procurement iweje leo useme umesomea ualimu?

Mkuu, hebu kuwa makin, rudia kusoma tena, utagundua hakuna nilipojikanyaga, thread hii sijasema lolote kuhusu course za procurement, course za procurement nilianza baada ya kushindwa kwenda chuo, n nafanya mitihani, may na november, nipo professional level two, last sitting lishikwa hesabu, narudia November, nilianza board mapema niki aim kuwah kumaliza kabla ya wenzangu walioenda chuo, lakin wao wamemaliza mm bado nipo P2. Mkuu, ukiona nimepost jambo, trust me, situngi, ni kitu kimenitokea, mara zote napo post, target ni kupata solutionz ambazo najua, hata wengine wenye matatizo kama yangu watapata msaada, hapa ni kuwa kama nitashindwa kuyafikia malengo yangu kimaisha, basi kwa threats hizi mnaOtoa ushauri, wenzangu wenye matatizo kama yangu wapate solutionz, wakat huo na mm najifunza. Sianzish thread ili tuu mchangie, naanzisha ili nipate mawazo mbadala, nichanganye na yangu nione mlango upi natokea, i do this becouse, sina mshauri wa karibu zaidi ya Jf.
 
My weaknesses are worse,

Hasira za haraka, Pupa, Kujistukia, Poor financial Control, Poor Planner, sina Persistence, Ukiniuliza nataka kuwa nani, au kufanya nn? Nitakuambia, I want to be successful, Sina starting Point, Nashindwa kuplan, nadhan nahitaj mazoez ili kujenga uwezo mzuri wa ku plan, Kila siku am on a treadmill, every day again and again returning on the point of departure, kila siku mimi ni wa kuanza Moja, lini nitafika hatua ya Pili, tatu na kuendelea? Kuna kitu sina, nakitafuta ili niishi maisha niyapendayo.

kutambua tatizo is an initial stage towards the solution...Its good, for the initiatives you have taken..have the power of positive thinking and give yourself time....remember that ''hardship pushes someone to success as long as you work smart''
 
HUyu mwanzoni alisema amesoma masuala ya procurement na anafanya mitihani ya bodi iweje leo aseme amesomea ualimu huyu ana enjoy watu hapa.

Mkuu, naomba usome tena thread yangu. Wapi nimesema nasoma ualimu? Nilichaguliwa kwenda ualimu, lakini sikuenda kutokana na financil issuez. Halafu, i dont enjoy people, Jf imenishauri mengi, ndio maana kila changamoto naiweka hapa, what i have shared with you, is a small propotion of what i go through in my life. I don't enjoy people i value, and consider my advisorz. Nirekebishe kama nakosea, maana nakosea sana.
 
How will i accomplish this? Should i Lock my self in my room n pray? Niliwah pata kumuona mchungaji flan, lakin naona nakaribishwa tuu kwenye makanisa yao, huko nakuwa treated like otherz, yaani nachokitafuta nikifika huko sikipati. Naanza vipi kumtafuta Mungu wangu?

Naomba Muongozo.

Nikuulize swali, wewe ni mkristo katika kiwango gani,simaanishi dhehebu bali kimaandiko?
 
Kwanza, faith comes by hearing thé word Of christ....Romans 10:17. Hivo ni lazima ujifunze kusikia neno la mungu,usipopata pastor unaemuamini ,anza kusikiliza teaching kwenye TV,mfano Pastor Chris Loveword Tv Intelsat 20 ,pia unaweza pata message zake kwa tubemate on phone net, au weka email yako nikutumie electronic book ujifunze mwenyewe taratibu. U need kingdom finance secrets to start
 
Then, be consistent. Rudia thread yote ila epuka walokwambia mrejee Mungu bila kukwambia unamrejeaje. Hawajui hata dini yako! Strange creatures those!!

Usiwe arawa kugusa kila kitu. Ualimu, procurement, uprofesa, biashara, etc. Who are you?!

Amua moja then simama nalo. Give urself 5yrs utaona mafanikio. La sivyo utakuwa wa kujaribu tu. Na usijifananishe na wengine bila kujua wametokaje. Utaishia kuwa punda dogo.

Again, CONSISTENCY is your key bro. Usisahau kutumia akili kubwa sana uliyojaaliwa. Ukiwa consistent kutwanga maji kwenye kinu, hutafika popote. Werevu watang'amua.
 
PSALM 32:8 (KJ21) | IN
CONTEXT | WHOLE CHAPTER
“I will instruct thee and teach
thee in the way which thou shalt
go; I will guide thee with Mine
eye.
 
I believe in God, i believe in Jesus Christ. Hicho ndio kiwango changu Mkuu.

Its your choice, if you want to fight your way you may go but you might end suffering second time,it will destroy you. God is our creator, our unbelief does not nullify his faithfulness , why not taking advantage Of his kindness
 
Una maanisha nn, unaposema swot? Sinogeshi, i mean what i write.

SWot means strength,weakness,opportunity & threat,by ur explanation according to my fellow writer u know each and every thing of ur SWot.
 
SWot means strength,weakness,opportunity & threat,by ur explanation according to my fellow writer u know each and every thing of ur SWot.

Unamaanisha, sihitaji Ushauri maana nishapewa, its my turn to Put into Practice what i was adviced?
 
sijazaliwa miaka mingi ilopita, lakin jana jioni nilipokuwa nimekaa nje ya nyumba yetu, mida ya saa tano, katika kutafakar kwangu juu ya maisha yangu, nimegundua kuwa sijakamilisha chochote, yaani, i have accomplished nothing.

Nikiitizama elimu yangu, nimemaliza form six na division three, nilisoma hge na history nilipata c, geography- f, economics- c. Nilichaguliwa ualimu chuo kipya cha tabora, lakin kutokana na sababu za kiuchumi, sikuweza kwenda, badala yake nikaenda kuwa volunteer katika taasisi moja kubwa ya afya, inayomilikiwa na wahindi.

I wanted to be the best in everything i do, but i always end up the worst, if not the least. I once said i wanted to be a professor, kwa sababu ninae mjomba wangu, ambae ni professor pale chuo cha mlimani, na anaishi maisha mazuri mpaka ametusahau wapwa wake.

Niliwah kufanya rap music, miaka ya nyuma, lakin sikutoka. Nikaingia kwenye maigizo, lakin pia sikitoka.

Nikitizama navyoishi, najiona kama mfa maji, natapa tapa tuu, naweka muongozo usiku, asubuh napangua napanga mengine.

Kiufupi, naona kama nasindikiza watu, nilikuwa wa kwanza kufungua account, in comparison to my friends, lakin leo hii, nina salio dogo kuliko hata wale niliotangulia kufungua account.

Nilikuwa wa kwanza kupata kazi, kabla ya marafiki zangu, lakin sasa wao wana maendeleo makubwa kuliko mm.

Mpaka sasa nimeshindwa kuishi maisha ya kujitegemea, japo nina kazi, naogopa nikitoka nyumbani, naweza shindwa mudu gharama za kupanga. Nina ujinga mwingi kichwani, najiuliza ni vipi nitautua huu ujinga?


I dream success, i pray i become successful, but ukicheki navyo ishi, i live failure' sina nachojivunia ktk maisha haya, maana mpaka sasa, sijaweza ishi, hata theluthi ya maisha ninayoyataka.

What's wrong with me? Nakosea wapi? What am i lacking? What needs to be done in me, to transform my life from failure to success?

If i was your brother, ungenishauri nifanye nn?

anyway time will tell everything about you and it is very near.
 
anyway time will tell everything about you and it is very near.

Ipo siku nitaleta ushuhuda humu. And you will be the first to like and Appreciate My Effort to Succeed. Am close to what i seek.
 
As long as you continue to breathe, you still have a chance dawg!
Just keep your head up and don't give up.
Remember how many times Abe Lincoln had failed before he won the election?
 
Back
Top Bottom