BADILI TABIA
JF-Expert Member
- Jun 13, 2011
- 32,766
- 23,217
If u were in ma shoes u cudnt say differently from dat.....
Dada shem upo?
ingia kwenye settings za simu yakoNdo maana nimeuliza,I thought of changing phone and email but sijajua kama itasolve coz sijui anatumia mbinu gani
Sasa binti wa namna hii unamfanyia nini!?? unamshauri nini!?? Angekuwa mdogo wangu ningemchapa viboko!
Hahahahnguvu za giza ziko wapi?
Kama jamaa kainstall muapplication wa kumfuatilia mwanamke wake ambaye anajifanya hamtaki???
Unampa anachokitafuta tu
Hahahahnguvu za giza ziko wapi?
Kama jamaa kainstall muapplication wa kumfuatilia mwanamke wake ambaye anajifanya hamtaki???
Unampa anachokitafuta tu
Tena wanaume kama hawa unakua na michepuko mitano na una chart nayo kimahaba Mpaka Mpaka akome kufatilia yasiyo muhusu
Hahahaaaaa!! Yaani zinaingia tu msg utadhani wasap group, akitoka huyu inaingia ya huyu, kiherehere choote kwishney.