I hate the way I love him

haki ya nan maisha yanakuwaga magumu kweli unapokuwa ww una kimuhe muhe cha kuwasiliana na mwenzio kila dakika halaf yy hyo siyo style yake. ishawah kunitokea baada ya muda utazoea na utachukulia poa coz bado wachanga mno, miez mi5 bado mapenz ni motomoto.

Asante kwa kunipa matumaini Nambe, l hope with time itapungua; ila haya mambo bwana yalikuwa yanafaa kwa teenegers. Huwezi amini just few months nilikuwa nikiona mtu anahangaika na vijiSMS namshangaa halafu namuonea huruma. Look at me now! Ptuh
 
Last edited by a moderator:
inabidi utoe ajira kafara ili umfaidi, hapo kweli utakuwa unampenda.
Mkishakuwa pa1 unaweza tafuta kaz nyingine huko mtakako kuwa nae.

Lol, kweli mapenzi noma.
 
inabidi utoe ajira kafara ili umfaidi, hapo kweli utakuwa unampenda.
Mkishakuwa pa1 unaweza tafuta kaz nyingine huko mtakako kuwa nae.

Lol, kweli mapenzi noma.

Ngoja tufahamiane zaidi, kama wadau walivyoshauri. Yaani nikiufuata Moyo tu bila kuishirikisha akili, tommorow will be far ningehire hata ungo ili niwe kifuani kwake right now!

I can't agree more "mapenzi hayafai kabisa maana ni zaidi ya noumer"
 
yes itapungua beliv me my dia Kaunga, my girlfrnd 1st time alikuwa very crazly to me, each time she text me/call me mpaka akawa ananiboa, but now yupo poa, we have 1+ year nw

I also feel namboa sometimes. Maana anapumzika pale ninapokuwa extremely busy au out of network! Thanks Massawe kwa kunipa moyo! I wish time to fly so l can be myself again. I feel so vunerable!
 
inabidi utoe ajira kafara ili umfaidi, hapo kweli utakuwa unampenda.
Mkishakuwa pa1 unaweza tafuta kaz nyingine huko mtakako kuwa nae.

Lol, kweli mapenzi noma.
 
I meant sijawahi kupenda like that!

Najua 5 months ni muda mfupi kumfahamu mtu na ndicho akili yangu imekuwa ikijaribu kuushauri huu Moyo wangu ambao umekuwa mbishi sana. Kifupi nimefanya reasonings za kuzidi lkn reaction bado ni ile ile. Nafanyaje ili asitawale mawazo yangu.
Naitamani sana hali yangu ya zamani ambapo l was in control.

Poor Kaunga.... You have fallen in love. My grandpa used to tell me "Do love, my son, but never ever fall in love". Sikuwa namwelewa mpaka nilipokuja kugundua kuwa kupenda ni furaha na kufall in love ni utumwa. Jitoe utumwani rafiki otherwise you are done. Si wajua sie midume tukishajua bibie kafall tunavodenguaga?
 
Last edited by a moderator:
Pole na hongera at the same time.

Kwanza, hongera maana kupata mtu anayekufanya ujisikie 16 ni mara chache hasa umri unapokuwa umeenda, hongera best.

Pole, maana hata kumpenda mtu sana inasumbua, unamfikiria sana huna hakika kama na yeye anakufikiria. Basi unabaki kuji-confuse tu kama mtoto.

Miezi 5, haswaa huu ndio muda wa kuchanganyikiwa katika mapenzi wala hujakosea, nitafute baada ya mwaka au miaka miwili utakuwa umeshakaa sawa.(Diminishing Marginal Utility inahusu sana kwenye mapenzi)

Kwa mtazamo wangu you are very okay, wala hujapoteza uelekeo.

Warning, asije tu akajaribu ku-take advantage of you hapa mwanzoni, kuna rafiki yangu kidogo amwandikishe hati ya nyumba mpenzi ambaye hata hajamwoa na wala hawakuoana.
 
Poor Kaunga.... You have fallen in love. My grandpa used to tell me "Do love, my son, but never ever fall in love". Sikuwa namwelewa mpaka nilipokuja kugundua kuwa kupenda ni furaha na kufall in love ni utumwa. Jitoe utumwani rafiki otherwise you are done. Si wajua sie midume tukishajua bibie kafall tunavodenguaga?

Hiyo sentensi ya mwisho Asprin, why? Kwanini mdengue tunavyowazimikia?

Nipe tips za kupenda tu bila kudondoka; maana kudenguliwa sijui kama nitakuafford! Maana kudengua ni kwetu sisi wanawake, "kanakake na kudengua" ndio msemo wa wanyamwezi.
 
Last edited by a moderator:
enjoy kwa sasa hiyo feeling, haiji mara nyingi
na mkikaa sana, believe me inapungua sana au kuisha kabisa.

Kama ni mtu tolerant wee tuma sms hata 800 kwa siku na kupiga juu.

The more unavyojizuia ndio unazidi kuhisi unachanganyikiwa.

Ni kama mmasai awe hajala nyama mwaka mzima, afu umpe nyama kilo 2 tu atakula na sufuria, hata kama utampa kwa mwezi mzima.

Ila ukimpang'ombe mzima akala 2 days na kusaza hamu huisha kabisa anabaki kula kawaida.

Am so happy for you hasa kwa sababu na yeye anakupenda.

Asante kwa kunipa matumaini Nambe, l hope with time itapungua; ila haya mambo bwana yalikuwa yanafaa kwa teenegers. Huwezi amini just few months nilikuwa nikiona mtu anahangaika na vijiSMS namshangaa halafu namuonea huruma. Look at me now! Ptuh
 
Last edited by a moderator:
dah,pole mamie. hata me nliwahi kupatwa na hiyo hali nlikuwa kama mtumwa lakn nikapa ushauri toka kwa marafk zangu hasa wa kiume. walinambia kimsingi mwanaume hapendi kufuatiliwa / kubanwa yan kumcall kila wakati na kumtext. hawapendi kuoneshwa kuwa umemzimia kuwa partially unampenda but humwoneshei mpk ukawa mtumwa. jaribu hii may b ika-work out. asubuh mjulie hali km kawaida,mchana mtakie lunch njema bt ucku ndo muda mzur wa kuchombezana pia usiwe wa kwanza kumtafta kila mara,mpe nafas naye akutafute!
 
Kongosho hny, l am so happy umekuja. Nilianza kuwaza rafiki zangu wamenidesert when l needed them the most!

Asante kwa mchango wako ambao kwa kweli umenilift sana, kama Asprin nawe hujaingiza utani na kunitake serious. I am glad to know l will be normal baadaye; kwa muda when he is damn busy JF has been much help, hasa unapotumia muda kushauri wenzio unasahau ya kwako kwa muda. Ngoma ukiingia kitandani mchezo hurudia, ila sala aisee ni msaada mkubwa sana!

About taking advantage, labda moyo wangu lkn sio material things.

Thanks again shostito!
 
Last edited by a moderator:
Unajiskia unavojiskia sababu unataka kujiskia hivo.
at any given time you are the master of your feelings
Umeshindwa kufuta hiyo feeling because you like it
when you'll decide to stop feeling that way, it will fade.
 
my dear Kaunga hyo mbinu ilinisaidia thou ilikuwa inaniumiza. unakuta najibana kutokumuanza lakn mwisho wa siku nlizoea tukawa level. . . hiyo ndo tabia ya penzi wakati we uko 100% and vise versa mwingne yupo 10% sa kinachotakiwa hapo we uanze kushuka na yeye aanze kupanda ili mkutane kwenye 50% by 50% ambapo mtakuwa na 100% hapo ndo mapenzi yananoga. kila la heri!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom