I hate the way I love him

I hate the way I love him

Aisee kama tuko page noja nina same attitude kwa hubby wangu hadi najiulizaga nina ugonjwa nn.
Nampenda sana
 
We love each other. And naona kama yeye kazidi hivi..... maana sasa imebidi tujitahidi kila mtu apende apendacho mwenzie. Can u imagine nami eti nimekua mpenzi wa mpira siku hizi😉

Kama wote mnajisikia mko mbinguni kimapenzi Ni vizuri, you even argue about manU arsenal na kina simba na yanga, lol....ndo napenda hivo!!!
 
Ha ha ha, mganga hajigangi aaisee
Ushauri wangu siuamini tena.

Hahahah, kama nakuona vile. Halafu nikikumbuka wakati anakufukuzia, hadi raha yaani. Una bahati niko mbali ningekunyanyasaje.

Mwaya, ni rare opportunity to love enjoy it.
 
Try to handle it.
 

Attachments

  • 1393082395460.jpg
    1393082395460.jpg
    46.4 KB · Views: 105
Nikiamka ni mtu wa kwanza kumfikiria, nikilala ni mtu wa mwisho kumfikiria!

Ndoto zangu nyingi ni juu yake!

Nisiposikia sauti yake naumia!

Natamani ningependwa hivi na mwanamke ningemshukuru sana Mungu na ningemtunza sana mama watoto wangu

Nisipopata SMS nakasirika!

Sina nguvu za kucontrol hisia zangu na sina uwezo wa kumficha ninavyojisikia!

It hurts so much that we are apart, ninaumia sana ninapotaka kukumbatiwa lkn naishia kukumbatia mito.

Nahisi ninaact like a school girl in love while l am a mature woman; nifanyaje?
Natamani ningependwa hivi na mwanamke ningemshukuru sana Mungu na ningemtunza sana mama watoto
 
Kupenda kuzuri na wakati mwingine kunatesa aisee. Hongera sana Kaunga nina imani bado unampenda the same way tangu ulipo post hii mada. Be blessed
 
Last edited by a moderator:
Natamani ningependwa hivi na mwanamke ningemshukuru sana Mungu na ningemtunza sana mama watoto

kuna uwezekano mkubwa anaekupenda dat way wew hauna habari nae ila moyo wako umemdondokea mtu mwngne
 
Back
Top Bottom