I just love ads in the Internet!

Mr.genius

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,369
1,169
Najua watumiaji wengi tu wa Internet, hua wanakawaida ya kutopenda matangazo wanapotembelea tovuti mbali mbali kwenye mtandao wa Internet (hasa zile pop ads) kwa namna moja au nyingne "zinakera" au zinawapatia usumbufu usio na " sababu" za msingi. Well yawezekana zikawa ni sababu zao za msingi sana and i respect them.

Lakini tofauti na kwangu i just love these ads. And to be honest deals zangu nyingi au ideas zangu nyingi ninazopanga kuzifanya au tayari nishaanza kuzifanya zinatokana na kua nimeona tangazo mahali kwenye mtandao. Na sio kwenye mtandao tu hata nikisikiliza radio au kuangalia Tv (nmeshawahi kuckia mara nyingi tu na hasa hapa jukwaani baadhi ya wana jf wakiilalamiakia kituo kimoja cha radio kua na matangazo lukuki mpaka kumchosha msikilizaji) kwa upande wangu mi nikisikilizaga matangazo ndio napata business ideas mana napata kufahamu nani anafanya nini ana product gani sasa hivi sokoni inasifa gani ina ubora gani, naangalia product / service yake ina upekee gani (uniqueness) je, na mimi nmejifunza nini kutoka kwenye hiyo product? ambacho maybe i can apply it into my own stuff that i am doing.

Pia mbali na hivyo hua napendaga kuangalia ufundi uliotumika katika kuliandaa tangazo lenyewe mpaka kua la kuvutia (hasa yale ya video) kwenye mitandao kama ya youtube and a like.

Wakati mwingine kuna aina ya taarifa fulani ulikua unaitafuta ukawa katika kuperuzi kwako na kudadisi ukakutana na tangazo lenye link ya kukuwezesha kupata aina hiyo ya taarifa ulikua unaitaka jamani sasa si ni faida hiyo.! That's why i love ads and that's how i get benefit from them.

NB: Nmeandika uzi huu kwa lengo la ku share experience tu, sina lengo la kukufanya kua na mtizamo kama wangu!
 
adsense tamu sana
Watu tusilale ila kupata adsense ni kazi nzito ..
Screenshot_20180607-064907.jpg
 
Kwahiyo umeshafanya biashara ngapi mpaka sasa hivi? Za aina gani? Zimekulipa? Changamoto zake ni zipi?
 
Back
Top Bottom