I hate the way I love him

Duh dada Kaunga!am speechless,pole na hongera though.Kumbuka ule wimbo wa kinyamwezi.......WAFUMA MWIKULU WANGALUKA MWANA WA NTEMI ALUYU VAVA WATOLA MWANA WA NTEMI.........muulize mama atakuimbia vizuri na kutafsiri pia.All in all good luck.Watu wa busara kama The Boss,Kongosho Mwali,Aspirin na wengineo wamemaliza kila kituIla mwambie jamaa tunamsubiri pale CHABUTWA atupatie chetu kabisa sisi kina kaka,te te te
 
Nikiamka ni mtu wa kwanza kumfikiria, nikilala ni mtu wa mwisho kumfikiria!

Ndoto zangu nyingi ni juu yake!

Nisiposikia sauti yake naumia!

Nisipopata SMS nakasirika!

Sina nguvu za kucontrol hisia zangu na sina uwezo wa kumficha ninavyojisikia!

It hurts so much that we are apart, ninaumia sana ninapotaka kukumbatiwa lkn naishia kukumbatia mito.

Nahisi ninaact like a school girl in love while l am a mature woman; nifanyaje?

I thought haumpendi, kumbe ur in love! na yuko mbali? imajine anakuambia he is no longer in relation? Majibu yake = bora uendelee kuwa unavyojisikia na ilivyo sasa kuliko ikiwa negative..poa mie nilikuwa napita tu
 
KIKUNGU kaka yangu, yaani bora hata umekuja unirescue na huu uchizi wangu. Maana naona kama l am going insane; sitaki kuumizwa tena yet nimefall in love bila kujali kama nilipoangukia kuna miiba au zuria la silk!

Nisaidie!
 
Last edited by a moderator:
I thought haumpendi, kumbe ur in love! na yuko mbali? imajine anakuambia he is no longer in relation? Majibu yake = bora uendelee kuwa unavyojisikia na ilivyo sasa kuliko ikiwa negative..poa mie nilikuwa napita tu
I am in love n it is costing me. Nashukuru lkn, l am going to work on ushauri wenu ili niweze kujitambua tena!

Nashukuru kwa kupitia mitaa hii. Be blessed!
 
Dah, Hongera kwa kupenda. Kwa sababu anasema he loves you so much I have no problem with that. Inshallah Mungu atawajaalia me kukaa pamoja. Uzuri hakereki na jinsi unavyommiss.

Mungu awajaalie mapendo yadumu. Been there, mtavuka uzuri tu. distance makes the heart fonder, coz it is just a heart beat away.
 
Thanks my wii wa ukwelii King'asti. Amina, naamini God will see us through, naamini ni mpango wake!
 
Last edited by a moderator:
My dear hua inatokea but trust me with time mambo yatabadilika, 5 months bado mpo kwenye stage ya mwanzo na hivi mnakaa tofauti hata mapungufu yake bado hujayajua.
Niliwahi kupenda hivyo kipindi cha nyuma bt baada ya kuumizwa nimeshika adabu siku hizi hua natumia akili zaidi kuliko moyo na sijawahi kupenda wala kumtrust mtu kwa zaidi ya 60% tena.
 
Nafikiri you are right hny; kutokaa pamoja, na the fact kuwa it is still a brand new love ndipo kinachonitia wazimu. Ngoja nivumilie coz sijajua jinsi ya kuupunguza huu moto bado; maana in normal circumtances ningetumia vijipungufu vyake na kucapitalize on them, lkn najikuta namtafutia excuse mwenyewe, can u believe it!
I am not myself kabisa!
 
Kwasababu tunajiaminisha kuwa hata tukivurunda mnasamehe fasta. Hamna jinsi. Kuanguka mapenzini ndo kama hivyo ufanyavyo. Kupenda ni kumtrust, kumheshimu, kumjali na kumpa nafasi. Penzi ni both way traffic bana, nipe nikupe in equal weight.

now i know you..............
 
gfsonwin nina miss maushauri yako in here shosti.

my dear am so sorry huu uzi sijauona toka jana, ila pia nilikuwa bizy kweli mr kanieka fungateni he was away so karudi kanifungia some where napata muda wa kuingia mtandaoni when he does the same otherwise nakuwa nae tu, unaona utumwa mwingine huu?

my dearest kwanza kabisa nakupongeza sana with our age kupata wa kukupend na wewe kumpenda. Sioni ubaya hata kidogo kwa wewe kuwa hivyo kwani kupenda bwana tena when you are matured ni kuzuri sana. Kuna rafiki yangu naye alipendwa katka umri umkubwa yaani waliakuwa wanaflirt sms hadi 200 kwa siku. uzuri ni kwamba the guy naye alikuwa anareply ama saa nyingine anaanzisha na zikipita seconds pasi majibu wanaulizana kulikoni. it went this way for about 4 months hapo sasa wakaanza kujiona kawaida ingawa wanapendana sana tena sana ila kwa sasa wanaflirt sms 70- 90 kwa siku. na mimi nilikua natia moyo kwamba let matters take there natural way itakuja kupungua tu, na panapo upendo wa kweli basi alama inabaki moyoni.

nikupe angalizo tu penda kwa akili mamito............ do not use your heart. ulikotoka unapajua so this time usimweke mtu moyoni mweke akilini ili akili siku zote ikupe alternative in case of unbecoming. sisemi usimwamini lahasha ama ujiwazie mabaya lahasha bali jiachie nafasi ya moyo wako uwaze yakiyo tofauti na akili icontrol feeelings zako. kamwe usikubali kuumizwa na moyo my dear.
 
Thanks dearest gfsonwin, nashukuru kwa assuarance na angalizo.
Yeye sio mtu wa kujieleza sana na zaidi hana free time kama mimi, na hiki kitu ndicho chanitesa. But we talk about it na anajitahidi anapopata nafasi.

Haya nikuache kwa amani uendelee kufurahia fungate lenu. Make the most of it dearest.
 
saa ngoja nikwambie yaani mtu asiyekuwa na maneno mengi naye pia ni mzuri sana manake hata kuboa wewe kwa maneno yake. cha kufanya hapo kwakua umeshamjua wala usiumie akili just text him as usual msalimie, mpe maneno matamu mawili matatu atakapo respond just thank him. the issue here is to make him fell that he is loved so he has to love too. kwa experience yangu kwa hawa watu ukimuona mtu anatake advantage ya kupendwa basi ujue huyo kakua body size tu but maturity bado iko chini sana. watu kama hawa ndio mifan yao imetolewa humu jamvini, ila wale waliokuwa kimwil na kiakili wanapenda sana kwa dhati na wanafurahia sana wapopendwa ninaona mifano halisi kwenye maisha yangu ndo mana nasema hukosei ma dearest Kaunga.

Asante kwa salam za upendo ma dear so far i will do ma best. si wajua wengine siye ndoa zetu ni zile za mama magharibi baba mashariki so mkionana its like ndo mmetoka kufunga ndoa.
 
Last edited by a moderator:
Kaunga endelea kumuombea sana...nakumbuka miaka fulani nikiwa ndo bado niko single and looking
Nikawa kwenye mahusiano ya mbali kama ww i love u sms and call zikawa kibao.. i miss you za kumwaga tulikuwa tunaonana mara nyngi tu eeh kumbe ndani ya kipindi chote hicho jamaa alishaoa mzungu lakni hajawahi kusema akija sijui pete anaacha Airport ...mmhmuda
baada ya 4 years ya mahusiano ndo ananitumia pcha za wedding na kuomba sorry kuwa alshaoa ila alishindwa kunambia..

Mungu awe nanyi
 
Last edited by a moderator:
Duh, FirstLady1 aisee wantisha. Lkn mimi ya kwangu sio far kihivyo ni TZ hii hii. Na pia at his age na mine sidhani anaweza ashindwe kuniambia kwamba he has stopped loving me. Sidhani!
I am glad you are over that na imebaki kusimulia tu.

gfsonwin umesema vyema, nami nafikiri people with few words wana quality yao pia hasa ikiambatana na matendo zaidi.

Nashukuruni kwa kuendelea kunitia moyo galfriends!
 
wish you all the best a dearest and trust yourself in this.
 
Back
Top Bottom