I hate Shorty Ladies..

Huhitaji msaada wowote kwani kuwachukia kwako hakuwapunguzii chochote.
Siku ukiamua kuwapenda utawapenda tu!
 
Urefu na ufupi ni majaliwa ya Mungu ila MIMBA na VITAMBI ni juhud zetu wenyewe
 
Kina msichana mmjoa alikuwa anawaita wanaume wafupi eti mbegu chafu hahaha
 
huyu chalii ni mbaya anaweza hata ua watu wafupi bora kuokoa jahazi la wafupi kwa huyu mfusi wa teammachizi Lady doctor

aisee......... Ningekuwa mfupi ningeandamana hakyanani sio fair kabisaaa!!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:


Unawachukia na kudharau? unamatatizo makubwa, Mungu akusamehe. kuna mtu kajiumba au kuchagua awe na kimo gani?
Tena utubu, usije pata laana, ukakosa watoto hata huyu mfupi usimpate. Kuna vitu vya kuchukia kama tabia lakini sio maumbile ya mtu, kajikuta yupo hivyo.aliyekupa urefu ndo alimpatia mwenzio ufupi.
 


Nimeipenda sana hapa.
Copy kwa uran
 
Last edited by a moderator:
Mkuu nisaidie,hivi mtu au mzazi wa mhusika afanye nini ili asizae au asizaliwe mfupi?
kama hakuna suluhisho basi tuseme ni kazi ya Mungu haina makosa tuwapende,na kumpenda mtu si lazima awe mpenzi wako kimahusiano
bali ni kumpa heshima anayostahili na pengine kumsaidia kama ana tatizo lililo ndani ya uwezo wako ,Linapokuja
suala la mahusiano chagua ambaye moyo wako unapenda,wafupi waachie wale ambao mioyo yao inawapenda.
 
Kina msichana mmjoa alikuwa anawaita wanaume wafupi eti mbegu chafu hahaha
Tujulishe kabisa,ameishaolewa au bado anasoma namba na kuvizia waume za watu,
ubaguzi ni laana,mtu anayejiapiza kumchukia binadamu mwenzie bila sababu ya msingi ukifuatilia maisha yake yanaishia pabaya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…