Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,682
Hehehehee sitii neno!
Njaa mumy!
Siende bila wewe!Haya nenda kale.
Usije kutuangukia hapa ukatuletea case za konkasheni ya njaa buree!
Hehehehee ndio shida yako....ngoja ukizidiwa na kizunguzungu usiniite!
Hebu twende tukale achana na Mtambuzi hana jipya
Haya sawa!Sio raha yangu?
heheh kwaresma inatusaidia sana kubana matumizi ujue?? lol
Nisubiri basi mpaka saa moja ndo tuje tule!
Lione kwanza unajishaua tu
Haya sawa!
Niko natafuta panakobamba ndio tukajitulize zetu.:A S-heart-2:
We Mrembo by Nature, naomba unituwe mtoto wa mwanamke mwenzako, yaani mie kijana wa miaka 25, unaniita babu, hebu nikome huko.........
Lione kwanza unajishaua tu
Unadhani nakubembeleza?
Unadengua nakutema kama kawa nahamia zangu Airtel kwani nini meeeen!
Nimekuelewa Anko wa ukweli!
@Mtambuzi shikamoooooo!
mimi napenda mnoooo,