Polee ila cha msingi ni kumwambiaa ukwelii kuwa im merried !!Imenitokea ghafla sana kila nikikumbuka matendo yake mabaya kwangu nashindwa kumsamehe na ninamchukia kupita maelezo. Kifupi hata nikimuona hasira inanipanda na hata mawasiliano naye sitaki. Hua napenda kua mbali na watu na kukaa alone tu. Nimebadilika sana mpaka marafiki wananishangaa kua nimepoa mno na sionekani. Ila ukweli ni kua nimeumizwa moyo mpaka basi. Sitaki kujua habari zake na sitaki ajue zangu. Mpka sasa hua nasafiri safari nyingi but hawezi jua nipo wapi na nafanya nini.
Nimekua na relationships na wasichana wengi mpaka kichwa kinauma ila sio serious relationships just for chating. Ila wao wanajua niko serious but ukweli kua niko frustrated. Nimeamua kuaachana nao but mmoja ndio ananiumiza kichwa maana yuko serious kupita maelezo. Hta jinsi ya kumuambia kua niko married nashindwa kupata pa kuanzia. Ki ukweli niko confused sana na sioni faida ya kuoa. Nimekua kwenye shida for a long time na nahisi nikiwa single nitakua na uhuru. Sijajua nifanyeje ila nko bored balaaa na haya maisha ya ndoa. Ndoa ya moto balaaa mpka hamu ya kuishi inapotea. Nashindwa kufikiria kurepair my relationship kitu nachofikiria ni divorce tu. Kwa sasa nimeamua kua kimya na kuishi alone kwanza nisome mchezo unaendaje but majaribu nayo ndio yanazidi kwani naposafiri nakua tempted sana.
Poleeee mkuu but naomba muongozo wako hujaweka wazi tatizo nn mpaka uchukie shemeji yetu.... But hujawah mkosea wweee hata siku moja kama ana mchepuko tafuta njia ya kutatua kosa moja halifukuz mke mkuuImenitokea ghafla sana kila nikikumbuka matendo yake mabaya kwangu nashindwa kumsamehe na ninamchukia kupita maelezo. Kifupi hata nikimuona hasira inanipanda na hata mawasiliano naye sitaki. Hua napenda kua mbali na watu na kukaa alone tu. Nimebadilika sana mpaka marafiki wananishangaa kua nimepoa mno na sionekani. Ila ukweli ni kua nimeumizwa moyo mpaka basi. Sitaki kujua habari zake na sitaki ajue zangu. Mpka sasa hua nasafiri safari nyingi but hawezi jua nipo wapi na nafanya nini.
Nimekua na relationships na wasichana wengi mpaka kichwa kinauma ila sio serious relationships just for chating. Ila wao wanajua niko serious but ukweli kua niko frustrated. Nimeamua kuaachana nao but mmoja ndio ananiumiza kichwa maana yuko serious kupita maelezo. Hta jinsi ya kumuambia kua niko married nashindwa kupata pa kuanzia. Ki ukweli niko confused sana na sioni faida ya kuoa. Nimekua kwenye shida for a long time na nahisi nikiwa single nitakua na uhuru. Sijajua nifanyeje ila nko bored balaaa na haya maisha ya ndoa. Ndoa ya moto balaaa mpka hamu ya kuishi inapotea. Nashindwa kufikiria kurepair my relationship kitu nachofikiria ni divorce tu. Kwa sasa nimeamua kua kimya na kuishi alone kwanza nisome mchezo unaendaje but majaribu nayo ndio yanazidi kwani naposafiri nakua tempted sana.
hamna jipya ni usaliti na mauzi yenu ndo vitu vikubwa vinavyompa dume stress to the max,mengineyo ni ngumuEbu tuambie mkeo kakufanya nini kwanza mpk umchukie ivyo kingine ao wanawake zako usiwafiche kuhusu kuoa uwa mnaona aibu au
Usaliti mnaanzaga nyie wakimalizia wanawake ndo wanaonekana wabayahamna jipya ni usaliti na mauzi yenu ndo vitu vikubwa vinavyompa dume stress to the max,mengineyo ni ngumu