Don Mangi
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 2,199
- 855
Niko sana mkuu, wewe ndioumeadimika kama ile ndege ya Malaysia.
Hahaha mkuu Nipo sana, sijaja kipande hiyo huko siku mingi... naivutia kasi asee...
Niko sana mkuu, wewe ndioumeadimika kama ile ndege ya Malaysia.
Hahaha mkuu Nipo sana, sijaja kipande hiyo huko siku mingi... naivutia kasi asee...
You have got to know when love is over and learn to carry on.
Do not lower your dignity as a woman, over a man who does not reciprocate your love.
Believe me there is always someone better.
Now wipe those tears and call it quits.
You deserve better.
machozi yanataka kutoka can i really do it
True True.
Our lines of thought are worlds apart.
Being brought up by my Dad has helped me crack the password into a man's world.
I cannot say I'm perfect but am safe and will be for a million years.
fomcl!!!!!!!!!!!!!!!!!
kudos to u Karucee na asipokuelewa hapa basi aje huku upande wa pili tumtengenezee mpaka ma equation akayasolve home kwao...
the problem is u loved too much... and the worst thing is "umemwonyesha unampenda"...
hili sio kosa lake, na hata kama ni wewe ungekua yeye ungemfanyia hivyo!!! hiyo ndiyo asili ya mwanadamu...
meaning anajua kua nampenda sana ndo maana ana nifanyia hivi?the problem is u loved too much... and the worst thing is "umemwonyesha unampenda"...
hili sio kosa lake, na hata kama ni wewe ungekua yeye ungemfanyia hivyo!!! hiyo ndiyo asili ya mwanadamu...
Meaning anajua nampenda sana ndo maana ananifanyia hivithe problem is u loved too much... and the worst thing is "umemwonyesha unampenda"...
hili sio kosa lake, na hata kama ni wewe ungekua yeye ungemfanyia hivyo!!! hiyo ndiyo asili ya mwanadamu...
Imeanza kuja kiasi ila something tells me stay and talk to him I dont know whyYou should have the power of moving on.
Maneno ya kweliMuko viwanja viwili tofauti, tena saana. Huyu jamaa hujatuambia ni kabila gani. Wengine hawajui maana ya kuchati haswa usiku.
Weye unataka umpashe moto mpaka atoke K'ndoni aje Mbagala kwa miguu. Yeye hajui hayo, anapokuona anajua ndo wakati na anachangamkia tenda kweli kweli. Ukisema Poo! Anavokulavu anainua mikono juu. Kumbe weye wataka kunywa maji muanze tena.
Hayo ndo matatizo, mkalishe, mweleze nia mwangalie na umsikilize tu. Huenda hamjaweka nia zenu pamoko.
Asante kwa kunipa moyoMimi nasema keep it up little thing, kuna siku atagundua hakuna anayemtreat poa kama wewe; kinachokufanikisha katika maisha ni wewe kuwa tofauti na wengine. Kila mtu anapenda kununua mahali penye discount kubwa hata mgahawa haufanyi biashara nzuri kama unatoa huduma ya kawaida inayotolewa na migahawa mingine; ni lazima utoe cha ziada ambacho wengine hawako tayari kutoa pitia hapa kwa akili zaidi Home
Saa zingine nawazaga hivyo kwamba anaona mi mdogo kwakeInawezekana kuiabisa huyo jamaa anakupenda lakini hakuamini...pengine anakuona bado mdogo sana...haamini uwezo wako wa kufanya maamuzi..hana uhakika unampenda au infatuation..Ana take time kukuelewa