I feel Guilty

Mie sikukaribishi kwa sababu nahisi na hii nayo utaisahau, pengine wewe ni bingwa wa kubadili ID ndo maana ya hiyo hapo BLUE

Subiri kidogo narudi na full details sasa hivi stay right where you are, naona sasa unataka kuniletea msala bombu. Mbona wanifanyia hivyo mtoto wa mwanamke mwenzio? LOL
 
Nahisi na mimi sikubisha hodi nilijikaribisha mwenyewe. Ngoja nitafute siku maalumu ya kukaribishwa. Lukansola usijiskie vibaya sana kwani kuna mke na mume wanaishi pamoja miaka kibao halafu baadae ndo wanakuja kuoana rasmi wakiwa na watoto tayari
 
Yap mkuu, hiyo inaitwa kuchemsha kipolo. Asante kwa kunitia moyo, pindi nitakapoona post yako ya kubisha hodi nitakuwa mstari wa mbele kukukaribisha kwa mikono miwili, au nikukaribishe sasa in advance? Ha ha ha ha.
 
Nadhani unaruhusiwa AshaDii, kwa sababu mimi hapa na act kama ndo kwanza naingia, kwa hiyo nadhani it makes sense kwa yeyote kunikaribisha, karibu unikaribishe AshaDii (LoughOutLoud)

Lunkansola... Tumefurahi saana kupata Member mpya kwa jina lako na Avatar ya wasifa wa pekee, Karibu saana JF jisikie upo nyumbani... Unapendelea nini nikurahisishie jukwaa la kuenda??
 
hahahhahahaaa! ukaribisho huu utakua fake na hauna utamu. Mimi nimeingia humu juzijuzi nikajiintrojusi nikakaribishwa kwa ukarimu mkuubwa yaan I felt so gud!
 
Lunkansola... Tumefurahi saana kupata Member mpya kwa jina lako na Avatar ya wasifa wa pekee, Karibu saana JF jisikie upo nyumbani... Unapendelea nini nikurahisishie jukwaa la kuenda??

Asante sana AshaDii, mimi bana napenda kujichanganya generally, siasa, science na teknologia na mambo yote yanayohusu innovations, haya niambie wapi kwa kwenda mpendwa.
 
hahahhahahaaa! ukaribisho huu utakua fake na hauna utamu. Mimi nimeingia humu juzijuzi nikajiintrojusi nikakaribishwa kwa ukarimu mkuubwa yaan I felt so gud!

Hongera Vene, na mimi nachukua fulsa hii kukukaribisha, kwa sababu sikuona post yako ya utambulisho. Karibu jf and feel at home.
 
Asante sana AshaDii, mimi bana napenda kujichanganya generally, siasa, science na teknologia na mambo yote yanayohusu innovations, haya niambie wapi kwa kwenda mpendwa.

Hapo nilipo color... Forums zake rahis kuzipata maana ni maarufu kwa majina hayo hayo....lol.. Alafu suala la innovatios jaribu jamii Photos... Tech gadgets and Science na labda Katika Elimu (very rare) or walau sheria forum incase wakiamua to bring up the topic....lol
 
karibu kamanda....kaa palee kuna watu special wa kuwapokea wageni wenyeji kama nyie.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom