I do call and text her but she never reply | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

I do call and text her but she never reply

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Rowland, Apr 22, 2012.

 1. R

  Rowland Member

  #1
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nisaidieni nifanyeje ?
   
 2. Mphamvu

  Mphamvu JF-Expert Member

  #2
  Apr 22, 2012
  Joined: Jan 28, 2011
  Messages: 10,708
  Likes Received: 935
  Trophy Points: 280
  Ni nani, mama ako, dada, mkeo, girlfriend, one night stand, rafiki wako, au kitu gani?
   
 3. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #3
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Mtumie pesa za kujibu msg...hujui yuko shule??
  Nitumie namba yake nikusaidie kumtafuta
   
 4. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #4
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Huu Ndo ubinafsi Wa wanaume, haujui hawaruhisiwi kuwa na Simu shule, na akiwa NAyo anajificha, wewe unataka niƱi sasa? Hujui anasoma? Acha upuuzi wewe!

  QUOTE=Rowland Joseph;3753409]She is so wonderfu and extremely supportive but tangu aende shule Moshi huwa hapokei au kuni jibu meseji zangu, am really confused coz i cherish her love and care. Nisaidieni nifanyeje ?[/QUOTE]
   
 5. uttoh2002

  uttoh2002 JF-Expert Member

  #5
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 3, 2012
  Messages: 3,679
  Likes Received: 2,743
  Trophy Points: 280
  Kama Ndo tabia zenu nyie wanaume msio na mawazo chanya hili lasikitisha, Kama humtaki si umwache? Mwacheni mtoto asome pumbafuuuiu!


   
 6. WaliNazi

  WaliNazi JF-Expert Member

  #6
  Apr 22, 2012
  Joined: Mar 7, 2012
  Messages: 853
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  ...hujawahi mfikisha ktk theluji ya mt.kilimanjaro... Kaenda huko kakutana na wapandisha kilele... Unategemea nin?
  Pole sana.
   
 7. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #7
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Watoto siku hizi hawasomi bila mahaba....
  Kama huyo denti angekuwa katulia asingekuwa na huyu jibaba...kumbuka hawa ni wapenzi sema shule imewatenganisha tu....
  Kwanza alisikia unamwonea huruma ye ndo atakushangaa sana unapoteza muda...
  Mambo siku hizi ni msambamba
   
 8. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #8
  Apr 22, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Kwanza utakuta kaenda moshi kea mumewe jamaa anajua yuko shule/chuo....
   
 9. queenkami

  queenkami JF-Expert Member

  #9
  Apr 22, 2012
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 135
  naona kaona azingatie masomo yake mapenzi baade
   
 10. T

  The onest Member

  #10
  Apr 22, 2012
  Joined: Apr 5, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwan ww hujui shule n muhmu hvyo calls na vmsg vyako,mwache mtoto asome sh*e*n*z*i zako...
   
 11. Fasouls

  Fasouls JF-Expert Member

  #11
  Apr 22, 2012
  Joined: Jun 24, 2011
  Messages: 922
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  mi nahis yuko na huyu jamaa....
   

  Attached Files:

 12. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #12
  Apr 22, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  mtumie email mkuu.
  Au angalia fb status, kama ziko updated. Otherwise ujue hana mawasiliano. Kama simu inaita kila siku kazana mpaka iishe chaji.

  Ni shule ngazi gani kwani? Sekondari au chuo Polisi.
   
Loading...