Bujibuji Simba Nyamaume
Platinum Member
- Feb 4, 2009
- 78,986
- 168,510
inye ndembendembe
inye ndembendembe
Inanikumbusha katuni ya Tukunyema Kistuli
safi katumia kiungo chake kurahisisha zoezi
rasilimali zimetumika ipasavyo
alikuwa anataka kuona nini au mbwembwe za huyu mtoto ili nae apande kwenye hiyo??
safi katumia kiungo chake kurahisisha zoezi
mashine
Mkuu Bujibuji hii ni REAR ELEVATION,ungetutendea haki kama tungepata na SIDE ELEVATIONS....Dah mzigo wa haja.