I believe in god

I believe in god

Jaman wadada wenzangu muoneeni huruma mkaka huyu jaman!hehehe me am ordy bukd!
 
Kazi kupata mke kwa mtindo huu miaka 800 ndo upate
 
Kiherehere chako utasababisha papuch zipande bei.
 
# its just the means for making us to know each other in deep,so we can know each other through that #.
Sikia wewe acha kulalamika lalamika wanawake hatupendi hivo
tafuta demu mmoja hapa unaemzimia, rusha kete zilizoenda skul
tongoza kwelikweli usimpe muda wa kupumua, mpe na ahadi zilizoenda skul
ukikaa kulalamika lalamika utanyetuka daily shauri ako....
 
Wanaokufaa wewe (kwa mtazamo wangu) ni Evelyn Salt, lara 1, badiebey, charminglady, Heaven on Earth. Anza na hao. Mambo ya kujifanya unamwamini Mungu halafu huchukui hatua, utaoa una miaka 65, shauri yako! Na kama ukitoka JF hasa MMU huna mke basi wewe nenda kaoge maji ya bahari halafu urudi tena! Fanya mambo kijana misukari ipo mingi humu, piga sound za ukweli, daadeki ingekuwa mie enzi za ujana wangu!

CC Babu Asprin

Mkuu mimi naomba unitoe hapo kabisa.. Make nishaanza mchakato huku!!!
 
Back
Top Bottom