Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,302
- 96,516
Hahahahaha madogo wa siku hizi bana, pamoja na kusaidiwa na teknolojia bado inashindwa kujichukulia michuchu kibao mtaani. Wangezaliwa enzi zetu za kukatana mitama, wangebaka sana kuku hawa na dogo....Wanaokufaa wewe (kwa mtazamo wangu) ni Evelyn Salt, lara 1, badiebey, charminglady, Heaven on Earth. Anza na hao. Mambo ya kujifanya unamwamini Mungu halafu huchukui hatua, utaoa una miaka 65, shauri yako! Na kama ukitoka JF hasa MMU huna mke basi wewe nenda kaoge maji ya bahari halafu urudi tena! Fanya mambo kijana misukari ipo mingi humu, piga sound za ukweli, daadeki ingekuwa mie enzi za ujana wangu!
CC Babu Asprin