I AM WOMAN…. A Woman I am… HAPPY WOMAN's Day to My Fellow Women.

hongereni sana mama zetu.....!

tumechagua kuyaepuka na kuyakemea matendo ya kikatili dhidi ya wanawake...!

tumechagua kuwathamini,kuwaheshimu na kuwapenda wanawake.....!

Have A Blast ASHADII....!

PAMOUUUJEEEERRRR!

Hujamalizia kamanda,

Nilisubiri kusikia hitimisho kama hili....

"Ila mara moja moja shetani anafanya vitu vyake na tuna........."......Hata hivyo, jueni kwamba tunawapenda saaaanaaaaaaaaaaa!!!!!!

Babu DC!!
 
i love that purple ashadiii...!and thanks...!

and "hongereni sana wanawake"...!

enjoy your day
 
Smiles usije ona other women appreciate Men ukadhani kua wao hawajawahi borekeka nao.... Wewe unawachukia sababu you have given them the power to control you completely and for long. Inapokua maamuzi, mtazamo wako na kuharibu furaha na Amani kwa ajili ya Mwanaume... Then hapo ndipo hasa unampa nguvu. Na bahati mbaya unapo umia na kupitia yoote hayo ukute hata habari hana. Ni Kweli akuumize for a while na uchukie lakini usiidumishe.... else unakua umekabidhi maisha yako kwake....

Nimependa sentensi yako ya Mwisho... Kumbuka kujipenda ni pamoja na kutokubali mtu akuharibu inside.... Thank you for sharing...
hiyo ni past my dia am soo happy now toka nilivojitambuakuwa mimi ni mtu niliekamilika na kuamua kuchukua hatua kila kitu kimebadilika.
Nilikataa mwenyewe kuonewa,kudharauliwa.kupigwa nakuumizwa
Kuwa mimi kama mimi kumenisaidia sana
Tatizo ni ile hali ya kuremove past memories
I wish one day ningeamka kichwa changu kiwe hakina hata harmful memory
Ila haiwezekani I have to cary all the bad memories forthe rest of my life
Au nivute bange
 
Every Home, Every Heart, Every Feeling, Every Moment Of happiness is incomplete without a woman.............so I am.
Happy Women’s Day!

You are right there Sister.... And that makes me feel more of a womam... I am Woman, A woman I am...

hahaha Born Town... Nakubaliana na wewe.... I am Every woman and it is all in me, Whatever you want it baby I can do it naturally....
 
To all the women I loved before......Happy Women Day......:lol::eyebrows::embarassed2:

article-0-12102DA4000005DC-612_638x494.jpg

thank you safari,i love this song soo much
 
wapendwa,

nakumbuka kukutana na swali kwenye interview ya pili kuhudhuria baada ya kumaliza shahada ya kwanza; "siku ya wanawake ni lini? kwa kweli sikuwa naijua na nilikosa lile swali! tangu hapo nikachimbachimba hadi nikaijua na kuanzia hapo sijawahi kuisahau!!

nitakuwa sijakutendea haki kama sitatambua busara kubwa na maono makubwa sana yaliyomo ndani ya post mada yako. kwa kweli kuna mengine mapya kabisa nimejifunza leo kuhusu the whole "concept' of motherhood and feminism.

ubarikiwe sana ADii,

mbarikiwe wanawake na wanaume wote!

Glory to God!
 
wapendwa,

nakumbuka kukutana na swali kwenye interview ya pili kuhudhuria baada ya kumaliza shahada ya kwanza; "siku ya wanawake ni lini? kwa kweli sikuwa naijua na nilikosa lile swali! tangu hapo nikachimbachimba hadi nikaijua na kuanzia hapo sijawahi kuisahau!!

ubarikiwe sana ADii,

mbarikiwe wanawake na wanaume wote!

Glory to God!

Hapo tu,

Umekuwa on top of every one and everything kwa siku ya leo,

Si kwamba nina wivu ila umeonesha kwamba nusu kitu bado haiwezi kuchukuliwa kama kitu kamili!!

Umebarikiwa sana.......(ADi usijedhani Babu ana ghubu...lol)

Babu DC!!
 
Nice thread.
wanawake tunaishi ajili ya wengine, watoto, waume, familia kwa ujumla.
Na wao wanaishi ajili yetu. nashukuru na ninafurahia kuwa mwanamke..

dedication to every woman out there.

Alicia Keys - Superwoman - YouTube

Maneno yako ni kweli kabisa dear.... Alafu can you believe wimbo huo wa Alicia naufahamu na kuona kwenye video the way ana change proffesssions mule ndani ila sijawahi tulia kusikiliza hasa wahusu nini? lol.... Leo Wonder Woman nausikiliza sasa hivo online word to words.... THANKS for the dedication and that on behalf of the all the women out there.... Pamoja Saana.
 
Hujamalizia kamanda,

Nilisubiri kusikia hitimisho kama hili....

"Ila mara moja moja shetani anafanya vitu vyake na tuna........."......Hata hivyo, jueni kwamba tunawapenda saaaanaaaaaaaaaaa!!!!!!

Babu DC!!

:washing: :juggle: :A S-coffee: :photo:

i love that purple ashadiii...!and thanks...!

and "hongereni sana wanawake"...!

enjoy your day

Thanks dear....
 
I am so proud to be a woman because i believe God has a purpose of creating me this way and thus i do everything in my power to glorify his name.
I know that one day there are little beings that will grow inside of me and am so eager for that day to come.
I love me because i am me, i am a woman yes a very extraordinary woman in every kind of ways socialwise i help people realize why they were born and their purposes on earth and remind them that one day they will perish and thus its important to put their trust in God.
Economicwise, i try alot to help those in need and it is of my greatest wish to help the orphans by providing them with settlement within due time.
Politicalwise,i offer advises to my party and participate in several meetings so as to raise opinions and awareness among us that will promote to the betterment of our country.
My love life hasnt been a success but there is always hope for the living.
A woman as I am, there are many things for me yet to do and i believe with God's help i will accomplish them all.
I wish you all a happy woman's day!
 
Maneno yako ni kweli kabisa dear.... Alafu can you believe wimbo huo wa Alicia naufahamu na kuona kwenye video the way ana change proffesssions mule ndani ila sijawahi tulia kusikiliza hasa wahusu nini? lol.... Leo Wonder Woman nausikiliza sasa hivo online word to words.... THANKS for the dedication and that on behalf of the all the women out there.... Pamoja Saana.

chukua muda wako usikilize ..
Ntarudi hapa kuona feedback yako. Cheers :)
makes me feel good every time I hear that song.

Every woman is super woman. Thanks to Alicia .
 
hiyo ni past my dia am soo happy now toka nilivojitambuakuwa mimi ni mtu niliekamilika na kuamua kuchukua hatua kila kitu kimebadilika.
Nilikataa mwenyewe kuonewa,kudharauliwa.kupigwa nakuumizwa
Kuwa mimi kama mimi kumenisaidia sana
Tatizo ni ile hali ya kuremove past memories
I wish one day ningeamka kichwa changu kiwe hakina hata harmful memory
Ila haiwezekani I have to cary all the bad memories forthe rest of my life
Au nivute bange

Pole mama Pole sana,
Maisha lazima yaendelee, bad memories zimeshapita, Aliyebaki ni wewe ,wewe ambaye umeshinda na zaidi ya kushinda. Sahau yaliyopita jana yako siyo leo wala hazitakutana.
Move on lady, Life is too short to Live.
 
thank you safari,i love this song soo much

Thanks......ila ule wimbo unasema ''to all the girls na sio women''

To All The Girls I've Loved Before - Julio Iglesias - YouTube

To all the girls I've loved before
Who travelled in and out my door
I'm glad they came along
I dedicate this song
To all the girls I've loved before

To all the girls I once caressed
And may I say I've held the best
For helping me to grow
I owe a lot I know
To all the girls I've loved before

The winds of change are always blowing
And every time I try to stay
The winds of change continue blowing
And they just carry me away

To all the girls who shared my life
Who now are someone else's wives
I'm glad they came along
I dedicate this song
To all the girls I've loved before

To all the girls who cared for me
Who filled my nights with ecstasy
They live within my heart
I'll always be a part
Of all the girls I've loved before

The winds of change are always blowing
And every time I try to stay
The winds of change continue blowing
And they just carry me away

To all the girls we've loved before
Who travelled in and out our doors
We're glad they came along
We dedicate this song
To all the girls we've loved before

To all the girls we've loved before
Who travelled in and out our doors
We're glad they came along
We dedicate this song
To all the girls we've loved before
 
Hapo tu,

Umekuwa on top of every one and everything kwa siku ya leo,

Si kwamba nina wivu ila umeonesha kwamba nusu kitu bado haiwezi kuchukuliwa kama kitu kamili!!

Umebarikiwa sana.......(ADi usijedhani Babu ana ghubu...lol)

Babu DC!!

Mkuu,

Kweli MJ amekuwa juu kwa post yake.

Lakini hapo kwenye magazijuto (mabano) nimeshindwa kukusoma, japo nimeongeza usaidizi wa miwani.
 
Pole mama Pole sana,
Maisha lazima yaendelee, bad memories zimeshapita, Aliyebaki ni wewe ,wewe ambaye umeshinda na zaidi ya kushinda. Sahau yaliyopita jana yako siyo leo wala hazitakutana.
Move on lady, Life is too short to Live.
am moving my dia
hvi kwanini huwezi delete mambo ya jana i wish
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom