I am too Rich to get married

Ha ha ha, ukiwa na pesa huwezi kukosa mwanamke wa kuzeeka naye... Labda siwafahamu wanawake mimi.....

Ndukiiiiiii

Ni kweli, mfano mzuri ni millionaire reginald na jac. Ila sasa kama umefanikiwa mapema kwa nini usubili kuoa uzeeni?
 
Hakunaga kitu kama hicho
Huwezi kuwa tajiri wa Mali halafu ukawa masikini wa fikra kwa sababu utajiri unatafutwa kwa akili ..ukimuona MTU ana Mali na pesa nyingi kuliko wewe maana yake ni kwamba ana akili nyingi kuliko wewe..
Wanaoshinda tatu mzuka je??
 
Amejiunga kwenye kle chama cha wajenzi huru sasa wamempa shart la kutooa. Huu utajr tunaupenda lakini unatugharim.
 
Mkuu lakini hata ndoa na relationship tunazitafutia hapa hapa duniani na hatuendi nazo kaburini tunaziacha hapa hapa...kama huo utajiri tuu
 
100%. BTW 30 bado sana, kama watoto anao tayari, so no pressure
 
Bil 2, pesa kabisa!!? Halafu leo anaomba hata nauli!!! Haiwezekani, mi nipate tu 100m na umaskini siurudii tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…